KICHEKESHO: Simba Wamekuja Na Bajeti Hewa ya Bilioni 24

Sijaelewa!!!! yaani 1,300 unayochukua kwenye kila jezi over 32,500 anayochukua GSM still unaona hapo hakuna mkono wa birika?
Mkono wa. Birika alifuatwa atoe pesa ya kumnunua Adebayor - Akashindwa, akasema pesa ni nyingi.

Adebayor kaenda Berkane.

Mkono wa. Birika alifuatwa atoe pesa ya kumnunua Manzoki - Akashindwa, akasema tungoje mchezaji amalize mkataba.

Manzoki kaenda china.

Mkono wa. Birika alifuatwa atoe pesa ya kumnunua Aziz Ki - Akashindwa, akasemaa hana pesa za kushindana na Yanga.

Yanga wakabeba aziz k.

Mkono wa. Birika alifuatwa atoe pesa ya kuvunja mkataba wa. SAWADOGO - Akashindwa, akasema pesa ni nyingi tumwache amalize contract yake.

Sawa Dogo anabaki kupambania klabu next season.

Wahindi wanajawahi ku-upenda mpira. Yupo Simba kwa sababu ya kisiasa tu.
 
Mngekuwa na Pesa leo hii Nabi asingeondoka.

Mngekuwa na Pesa leo hii kusingekuwa na mfululizo wa barua kutoka FIFA zikiwapiga faini kwa usumbufu wa kushindwa kulipa deni la Lucy Eymael

And then Yanga princess wasingeweka mgomo kudai mishahara yao pamoja na signing fee
 
Ukiwa yanga akili zina hama walipeni yanga princess na Lucy aymel hela zao kwanza halafu uje tuendelee na mada.
 
Mm sio yanga Wala Simba ila naona naww umesahau kuwa 20b ni ya 49% na miaka imepita km mi4 tangu wauziane as per maelezo yawo.je hizo hisa (49%)value yake bdo ni 20b???
 
Mm sio yanga Wala Simba ila naona naww umesahau kuwa 20b ni ya 49% na miaka imepita km mi4 tangu wauziane as per maelezo yawo.je hizo hisa (49%)value yake bdo ni 20b???
Kwa rekodi zangu ilikuwa 2021,wewe niletee hata link inayo onyeshwa Mo alinunua hisa miaka minne iliyopita, ilete hapa.
 
Kweli ww matako umeona ni hewa ww unanini zaidi ya hizo kemde zako
 
Kwa rekodi zangu ilikuwa 2021,wewe niletee hata link inayo onyeshwa Mo alinunua hisa miaka minne iliyopita, ilete hapa.
Asante kwaku nikumbusha ndugu ilikua 2021,,,naomba nijibu swali langu????
 
Sasa ulitakaje, ili useme tuliwaiga, fyata mkia!
 
Yaani ww ndiye kiazi, yaani hisa Mo kanunua kwa 20 bil,bajeti ya timu ni 23bil,hata hujasoma ila mathematical bado haijakaa, ila inawezekana kwako imekaa sawa.
Kwangu imekaa sawa kabisa. Iwapo Mo amenunua hisa za 49% kwa sh. 20B, inawezekana kabisa hujui (au hukusoma) kuwa zilizobaki ni 51%. Piga hesabu hapo upate thamani ya klabu kwa 100%, just kukusaidia ni 40.82B

Ingawa siungani na wewe kuhusianisha uwekezaji na bajeti, lakini ili nitembee na lugha yako, thamani ya klabu kwa 100% ni 40.82B na bajeti (sijajua kama ni kweli) kwa mujibu wa wewe ni 23B. Sasa endelea kuanzia hapo, maana ulikuwa unapiga hesabu za mwekezaji tu bila kujua kumbe hizo ni 49% tu
 
Asante kwaku nikumbusha ndugu ilikua 2021,,,naomba nijibu swali langu????
Lipi ? Kama kuhusu value mafanikio ya club ndio yanapandisha value ya club, je 21 mpaka 23 Simba imeachieve nini.
 
So thamani ya club 40b matumizi kwa mwaka 23b per yr,ila inawezekana ikawa Simba ndio ya kwanza matumizi yake kwa mwaka ni zaidi ya nusu ya thamani yake, hii sijawahi kuiona hata ulaya may be Simba ndio wa kwanza sio mbaya naendelea kujifunza maana haya ni maajabu.
 
Endelea kushangaa mdomo wazi, ila nzi wataingia, na kuwatoa tumboni hadi uchomoe mwiko
 
Kwani thamani ya Yanga ni sh. ngapi? Tuanzie hapo 😁😁😁
 
Mm sio yanga Wala Simba ila naona naww umesahau kuwa 20b ni ya 49% na miaka imepita km mi4 tangu wauziane as per maelezo yawo.je hizo hisa (49%)value yake bdo ni 20b???

Kwani huyu joseph1989 anaelewa lolote basi kuhusu uwekezaji wa hisa?

 
kwahiyo we ulitaka ukiwa na budget ufanye kila kitu kwa kukurupuka kama muajiriwa mpya kalipwa mshahara wa kwanza vile anataka anunue kila nguo,kila kiatu , Kitanda,Tv na kila anacho kiona bila plan?
Simba ni taasisi na taasisi yenye malengo haikurupuki hata kama inayo budget
 
Wewe mjinga kabisa kwenye AGM ya NPMO inajadiliwa report ya mapato na matumizi ya mwaka uliopita,peleka watoto shule wasije kuwa wajinga kama wewe.Ulichokiona Kwa yanga ni report ya mwaka Jana hawajasema ni budget ya mwaka huu,wachambuzi wenu na waandishi wa habari hawana financial knowledge ya kutafsiri financial statements wanajiandikia na kuchambua Kwa akili zao .Mambo ya fedha yanajadiliwa na wahasibu uliza kama hauna financial knowledge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…