Tamaa ya fisiEeehh ndio msimu umeanza, ni msimu wa tamasha la muziki lililoanza kwa muda mrefu, lengo sio kuzungumzia msimu ila "Kicheko"
al maarufu Kicheko mtata mwamba ikifika kipindi hiki cha msimu ndio JD yake inafanya kazi, tangu asajiliwe ni kama sio kama ni amepotea kabisa kwenye ulimwengu wa aliokuwepo labda arudi Ze Comedy, kwa wanaofatilia msimu huko mikoani ndio sehemu zake za kujidai hasa kwenye PA za mtaani, baada ya msimu sijui huwa anaenda wapi,
hivi leo huyu mtu alietukusanya kusikiliza kipindi cha Genge na kuvikwa vyeo lukuki uswazi leo hii kashuka nakuwa sehemu inayomfaa ni kwenye PA za mtaani..? (shangazo)
Kicheko ni aliyekuwa akitangaza kipindi cha genge pale Kawe. Akahamia mawingu kwa mbwembwe, lakini ni kama kule anachofanya hakionekani.Mkuu huyo kicheko ndo nani
aanze na wewe kwanza
kabisa, yaani jamaa sijui anafanya nini pale, ndio maana unashauriwa sio kila kazi yenye mshahara mkubwa ni ya kuikimbilia, pia angalia kama inakujenga au inakubomoa
ndio kilichopo sasa, yaani hata kwenye fiesta anafanya ilimradi liende sio yule tena wa EfmAlivyokuwa toka E fm walitabili kwamba atapotea na kweli yametimia yaani Clouds walitaka kuikomoa E fm Sasa kuna wakina Fido
mwenzetu uko sayari gani..?Kuna kipindi cha family love mbona gambo hayupo tena yupo Dada mmoja wakuitwa Lilian
Fact, case closedVp na Gerald Hando amepotea au amezidi kushine, me naona umaarufu bila hela ni kupoteza muda katika kutafuta maisha
Eeehh ndio msimu umeanza, ni msimu wa tamasha la muziki lililoanza kwa muda mrefu, lengo sio kuzungumzia msimu ila "Kicheko"