Kwisha habari yake. Jamaaa aliondoka kwa nongwa sana pale E FM. Nakumbuka alikuwa anahojiwa akaanza kumponda boss wake za zamani( Majizzo). Nikajua tu jamaa hatokuwa na mwisho Mwema.Chalii msubiri msimu wa Figidi fiesitraa yeye na Meena Ally
Hawa jamaa wana chemistry sanaaWalimtoa clouds wakampeleka classic fm huko napo hakutoboa hata miezi mitatu vipindi vyote vikafutwa....
anaumia tu huko kuona fido na samio wanajilia mema ya efm
Aisee,itakuwa alilubuniwa.Walimtoa clouds wakampeleka classic fm huko napo hakutoboa hata miezi mitatu vipindi vyote vikafutwa....
anaumia tu huko kuona fido na samio wanajilia mema ya efm
Hatari sana hiyo muvi,aliigiza kama kiwete,dalali mkubwa wa wanawakeArudi kwenye uigizaji, ana movie yake moja inaitwa CHINGA COORDINATOR niliikubali kishenzi