Ruyama
JF-Expert Member
- Sep 6, 2019
- 367
- 563
Jamaa aliondoka E-FM na kutimkia Clouds FM, namkumbuka siku hiyo mabodaboda walimsindikiza kwa mbwembwe, akapewa kipindi pale Clouds cha Nyimbo za Singeli kama alizokuwa akipiga E-FM siku hizi simsikii kabisa. Sijui atakuwa wapi nilikuwa namkubali sana.