Kicheko wa Efm achukuliwa Clouds

Naona kicheko kaenda kwenye redio kubwa inayoshindana na redio changa
 
Yaan sasa wanavyoipa promo kisingeli na walivyomteka manfongo waonekane wao ndo waasisi na wkt bila efm tusingejua kisingeli
Huu mchezo hauhitaji hasira
 
Daah aiseee huyu kicheko majizo alimpokea na kumsaidia hapo alikuwa kashatemwa na comedy eatv
Sam love bado hajakimuudu kipindi cha genge inabidi hatafutwe mtu wa kumpa kampani
 
Kwa hiyo itawalazimu Clouds waige kipindi alichokuwa ana fanya E-FM ... hata kwa kubadilisha jina lakini lazima kiwe cha singeli...!
Mm naon clouds wanafulia sas watakua wan copy n paste
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…