Kicheko wa Efm achukuliwa Clouds

Kicheko wa Efm achukuliwa Clouds

Kwa hiyo itawalazimu Clouds waige kipindi alichokuwa ana fanya E-FM ... hata kwa kubadilisha jina lakini lazima kiwe cha singeli...!
Clouds wanataka kuua singeli asee hawatakubali bongo fleva ife
 
Tatizo la watangazi wa radio tunatambua sauti zao kuliko sura.. Hebu tuwekeeni audio yake
Mkuu umesema kweli maana ijulikane kuwa anafanya kazi redioni na sio TV .kuijua sura yake ni mtihani mkubwa.Audio ndo nyumbani kwetu.
 
Back
Top Bottom