Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes,ukitembelea page ya dj majizo utaona preparation mkuu.Efm wanataka kufungua na tv mkuu?
okey ndo yulee[emoji106]Mmh usiniambie alikuaga comedy ya eatv ya kina bambo alikua anaongea kichaga anaitwa massawe mtata alivyobwagwa kule majay akamchukua efm
Clouds wanataka kuua singeli asee hawatakubali bongo fleva ifeKwa hiyo itawalazimu Clouds waige kipindi alichokuwa ana fanya E-FM ... hata kwa kubadilisha jina lakini lazima kiwe cha singeli...!
dash!umbea unanipita leoUyo uyo mpenzi
Mbwiga wa mbwigukeSijui efm watalipiza kwa nani ngoja tuone huu mchezo
Mkuu umesema kweli maana ijulikane kuwa anafanya kazi redioni na sio TV .kuijua sura yake ni mtihani mkubwa.Audio ndo nyumbani kwetu.Tatizo la watangazi wa radio tunatambua sauti zao kuliko sura.. Hebu tuwekeeni audio yake
Daah aiseee huyu kicheko majizo alimpokea na kumsaidia hapo alikuwa kashatemwa na comedy eatv
Sam love bado hajakimuudu kipindi cha genge inabidi hatafutwe mtu wa kumpa kampani
Aisee[emoji28][emoji28] kwakweli walipize kwa uyo
Kweli mkuu hata mimi hua simjui tena nimekumbuka kuna siku niliwahi kuuliza huku j.fhivi ndo yule kicheko wa commedy ya eatv ?
Nisiseme uongo mimi Efm nilifurahi sana walivo kuja, hawa Cloudz wali monopolize soko la redio wenyewe tuu!!Ngoja tusubili ila mm nafurai clouds kupata mshindani anayewapa shida
Mi piaAta mm nawapenda kwakweli kipindi changu sports hq