Kicheko wa Efm achukuliwa Clouds

Kicheko wa Efm achukuliwa Clouds

clouds wasisahau na kumchukua Bi Hindu pale efm maana wao si zoa zoa manjano
 
12912859_1064368796953404_909806615_n-jpg.397480
huyu ni nani mbona nae kicheko?
Huyo mbona Kama masawe mtata wa ze comedy??
 
Nahisi izi radio kila mmoja anapata muda wa kumsikiliza mwenzake
 
Kuna mashabiki wa Timu. Kuna Mashabiki wa Mchezaji. Hapa Mashabiki wa Timu tushaumizwa kama alivohama Beckham kwenda Madrid.
 
Back
Top Bottom