Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
.....kesho una free pass Taifa VIP umshuhudie Mnyama anaua mtu!Ata mm nawapenda kwakweli kipindi changu sports hq
Huyo mbona Kama masawe mtata wa ze comedy??huyu ni nani mbona nae kicheko?![]()
mwenzio star siku hizi anagombewa ikulu utasikia kawa mkuu wa wilaya siku si nyingiHuyo mbona Kama masawe mtata wa ze comedy??
huyo ndio kicheko mwenyeweHuyo mbona Kama masawe mtata wa ze comedy??
clouds wasisahau na kumchukua Bi Hindu pale efm maana wao si zoa zoa manjano
Huyo akipewa ukuu wa wilaya lazima niandamane kwa kwelimwenzio star siku hizi anagombewa ikulu utasikia kawa mkuu wa wilaya siku si nyingi
....mademu wazuri wote wapo huku;sio kama wale wanywa gongo mashost zake Nifah![emoji28][emoji28]halaf ulijuaje kama me mnyama damu
...jiulize we una tatizo na mimi,au shobo?....Mkuu una tatizo na Nifah
Daah![emoji28][emoji28]halaf ulijuaje kama me mnyama damu
HahahaPole