Kicheko wa Efm achukuliwa Clouds

Kicheko wa Efm achukuliwa Clouds

Shunie

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2016
Posts
154,929
Reaction score
459,607
Screenshot_2016-09-10-12-21-00.png
Screenshot_2016-09-10-12-21-15.png
aliyekua mtangazaji wa singeli na mchekeshaji kicheko achukuliwa na mahasimu wao clouds fm hawa jamaa sijui lini wataacha maugomvi yao ya kuchukuliana watangazaji
 
Tatizo la watangazi wa radio tunatambua sauti zao kuliko sura.. Hebu tuwekeeni audio yake
 
Kwa hiyo itawalazimu Clouds waige kipindi alichokuwa ana fanya E-FM ... hata kwa kubadilisha jina lakini lazima kiwe cha singeli...!
Kitaitwa uswazi flavour alaf mkuu ulikua unapendaga kipindi chake sijui utaama nae
 
Back
Top Bottom