Kichochoro cha kupitisha Dhahabu Musoma kwenda Kenya kifuatiliwe

hicho ndio kinampa kiburi sana kenyatta. kama tulivyojitahidi kwenye tanzanite, tujitahidi kwenye dhahabu pia.
 
Acha umbea mtoto wa kiume huo ni wivu sasa haya sasa fanikiwa wewe sasa

Lipeni kodi acheni biashara za kichinichini. Fungueni kampuni na ilipe kodi . Faida nyingine mkionekana mnalipa kodi na kuweka kampuni hata mikopo ya bank unaweza kupata sasa mtaishia kutaifishwa mali zenu zote na iko siku utabaki huna kitu. Haya ni mawazo tu

1. Fungua kampuni
2. Fungua akauni ya bank ya kampuni
3. Tafuta mhasibu wako
4. Lipa kodi na kuweka rekodi zako

Utashangaa biashara yako itakuwa hivi vipanya utarudi umasikini tu
 


Nashauri polisi wafuatilie bado tunaibiwa sana
 
Nchi ya ajabu sana hii. Suala kama hili hawajalifanyia kazi. Hopeless kabisa.
 
Nasikia bado wanapitisha
 
Kama pesa zinaibiwa pale ikulu .akiwa anaona unahitaji kujitoa ufaham huyu mama kuumiza kichawa chake na mambo magumu hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…