Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiongozi yaani huyo mgonjwa awezi saidiwa mpaka ujue jina la ugonjwa wake kwa kiingereza au sielewi nini hapo?Ok kwa mujibu wa kadictionary kangu ka kayumba style,"Kichomi= Sharp pain".......Endelea kwasubiri wenyewe kiongozi.Habari ndugu wana JF,
Naomba kufahamu kichomi kwa kiingereza kinaitwaje?? Kuna mtu anajisikia kuumwa kichomi, maeneo ya chini ya kitovu..
Shukrani sana..
Kiongozi yaani huyo mgonjwa awezi saidiwa mpaka ujue jina la ugonjwa wake kwa kiingereza au sielewi nini hapo?Ok kwa mujibu wa kadictionary kangu ka kayumba style,"Kichomi= Sharp pain".......Endelea kwasubiri wenyewe kiongozi.
Karibu dadam,usiogope nitabadilisha nitumie hiyo ya kwako..lol!Nalonga, Avatar yako imenitisha....napita tuu jamani
nadhani ndio tafsiri sahihi ya kichomi but muulizaji nafikiri alimaanisha some sort of abdomen painsnafikiri ni pneumonia!
nadhani kichomi kwa kidhungu ni ''stitches'', ila uzuri wa google hata ukiweka ulizo ambalo ni descriptive utapata.ila kichomi chini ya kitovu?ama ni maumivu?kama ni mwanamke it might be something to do with kizazi ama njia ya mkojo
labda tureverse swali..pneumonia kwa kiswahili ni nini??
Hujapata jibu bado mkuu, utapasua huo ukuta:eyeroll1::frusty:
labda tureverse swali..pneumonia kwa kiswahili ni nini??
Kichomi kwa kiingereza ni "crap"