said reuben
Member
- Dec 22, 2018
- 62
- 28
Niliambiwa vichomi ni dalili ya ugonjwa wa moyo mara ya mwisho nimeenda muhimbili nimecheki ecg na echo vyote kiko sawa lakini hiki kichomi hakiondoki na Leo nimegundua nikinywa soda aina sprite inachoma then inaacha sijui nafanyaje kuhusu hili