Kichomi upande wa kulia kisicho isha

Kichomi upande wa kulia kisicho isha

said reuben

Member
Joined
Dec 22, 2018
Posts
62
Reaction score
28
Niliambiwa vichomi ni dalili ya ugonjwa wa moyo mara ya mwisho nimeenda muhimbili nimecheki ecg na echo vyote kiko sawa lakini hiki kichomi hakiondoki na Leo nimegundua nikinywa soda aina sprite inachoma then inaacha sijui nafanyaje kuhusu hili
 
mkuu inawezekna ni acid reflux hiyo moja ya dalili za vidonda vya tumbo
 
Back
Top Bottom