said reuben
Member
- Dec 22, 2018
- 62
- 28
Huwa kinabana muda gani?
Jinsia yako?Mda wote upande wa kulia karibia na mbavu na kwapa kinatembea juu ya ziwa yani ni shida tu
Kuna kipindi nilikuwa napata hiyo hali. Nikakiacha na sasa sisikii tena.Mda wote upande wa kulia karibia na mbavu na kwapa kinatembea juu ya ziwa yani ni shida tu
Kwaiyo naweza nikaenda nikachoma sindano ya kichomi maana nimetumia amoxline kinatulia kinarudimkuu inawezekna ni acid reflux hiyo moja ya dalili za vidonda vya tumbo
OKNenda hospital, usije chelewa wenda ni kidole tumbo