Kichomi

Kichomi

ashy me

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2017
Posts
460
Reaction score
299
Habar za humu,

Jumatatu ya wiki hii alfajir ghafla nilibanwa na kichom upande wa kushoto juu kidg ya kiuno ilikuwa n mara ya kwanza na maumivu yalikuwa makali hayana mfano mpks nikaenda kulazwa dispensary moja nlitundikiwa drip na nlichomwa sindano haraka haraka NNE baada ya saa moja kilitulia.

Dalili za ugonjwa huku nlizpata muda jpo ckujua ilikuwa nikisimama DKK kumi naumia sana juu ya kiuno kushoto na nikikaa hal hiyo inapotea miezi.

Naomben ushaur kwa doctors humu inawezkana n tatzo gan na vipimo VP vya kufanya maana hta baada ya kutundikiwa drip na sindano kimeamia upande wa kulia na walinipa piroxicam tu
 
TATIZO LA KICHOMI NI MOJA YA DALILI ZA UGONJWA MOYO…

VIJANA wengi leo nyumbani Bongo wanapatwa na maradhi ambayo zamani yalikuwa ya wazee au watu wa makamo. Maradhi haya ni kama kisukari na mstuko wa moyo.

Kichomi ni moja ya dalili za ugonjwa moyo. Kupatwa kichomi mara moja moja si vibaya. Ukipatwa muda mrefu au kila wakti ; basi …chunguza zaidi.

Kichomi husababishwa au kinaweza kuwa.

  1. Dalili ya matatizo ya tumbo lenye asidi (acid) kuzidi
  2. Dalili za ugonjwa wa moyo uitwao Ischemic
Jambo la kuangalia ni je?
  1. Unashikwa kichomi ukiwa unatembea?
  2. Umeinama au umelala
  3. Ukishakula chakula
Kama unapatwa kichomi wakati ukitembea au ukishafanya mazoezi makali ina maana kuna tatizo la damu kuingia sawasawa au kuzunguka (circulation) katika moyo.

Kama unapatwa kichomi baada ya kula ina maana kuna tatizo katika chakula unachokula. Je mlo wako una acid(uchachu) sana? Je, unakula vyakula vyenye pilipili na binzari(spices) kwa wingi sana? Kama una kula sana vyakula vyenye asidi ina maana tumbo lako halimeng’enyui sawasawa linachoka.

Kawaida binadamu unabidi kubadili badili ulaji. Usirudie vitu fulani fulani kila siku. Mathalan usiweke pilipili katika kila mlo.

Tatizo jingine ni ulaji wa chakula chenye chumvi nyingi sana. Chumvi inakorofisha pia mzunguko wa damu mwilini.

Hasa kama haunywi maji.

Kama unapatwa kichomi ukiwa umelala au umeinama ina maana kuna tatizo pia la mzunguko wa damu ndani ya moyo au kwenda moyoni. Labda una tatizo la unene (je unafanya mazoezi ya kutosha?) kama unafanya mazoezi, je unafanya mazoezi ya aina gani?

Kama una kichomi cha mara kwa mara yaweza kuwa ni dalili za ugonjwa wa moyo, kisukari au mambo mengine. Kuondokana na mambo haya:
  1. Kamwone mganga wa moyo
  2. Kama huna ugonjwa wa moyo angalia unavyokula. Je, unakula sana vyakula vya mafuta
  3. Punguza ulaji wa mafuta au vyakula vizito jaribu kula zaidi samaki ambao huwa na mafuta yasiyoumiza mwili.
Mbali na ulaji suala la mapumziko ya kutafakari au kwa kimombo Meditation limefanyiwa utafiti na kuonekana kwamba linasaidia sana maradhi ya moyo, akili na “stress” ya mwili kwa ujumla. Jaribu hizi hapa chini, ukiweza dakika kumi hadi 20; mara mbili kwa siku, kufuatana na muda ulio nao.

Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu. Au boonyeza hapa.Mzizi Mkavu
 
Ni Mara ya kwanza kichomi kunishika ispokuwa dalili nlizpata mda mrefu ila ckufaham ...kuna kipind inatokea jpo s Mara kwa Mara nkisimama Dkk kumi mfululizo upande wa kushoto juu kiuno naumia sana then nkikaa kinatulia na hal hiyo haitokei Mara kwa Mara ila baada ya miez ...sasa wiki mbili zilizopita ndo kikaja ghafla .... Nmepigwa sindano na drip ila bdo nakiskia kwa mbali
 
Kama bado haujapona nitafute kwa wakati wako nipate kukutibia.
 
Back
Top Bottom