Hapa sijui hata nikomentije jameni......
Daaah! Watakuja hapa kutetea hiyo kamba,watasema joto Dar!!
vipi,kwani wewe ni mtumiaji wa hii kitu.Mmmmmmmh
mbona ni rahisi mno kujua kama umevaa hii chupi ya uzi.Sio joto mkuu ila mi sijaona shida yake maana hata ukivaa hiyo gstring nani atakae iona?to me so long mtu ako comfortable nayo acha avae ni kama underwear za kawaida tu
jina hilo wala huna haja ya kuvaa chochote usije mpa tabu roho mtakatifu kufanya mambo yake.Hapa sijui hata nikomentije jameni......
ndio ukubwa huo.Mh nina haraka ila naamin wapo wenye MUDa watapita hapa nakuacha alau nyayo zao za miguu, wasaniii daima hawatoishiwa na tungo lol! Narud jaman majukumu yamenizonga.
vipi,kwani wewe ni mtumiaji wa hii kitu.
Nalog off[/QUOTE
Kitu gani?
Hapa sijui hata nikomentije jameni......
Wengi hasa masistaduu huvaa kama fashion au usasa lakini je unajua maana yake zaidi...?
Kwanza kwa tabia yake ya kufunika mbele na kuacha kikamba tu ndio kifunike ma..ko huashiria kuwa mini kabang inapatikana
Pili haitofautiani na mtu avaaye kikuku au kishanga mguu wa kulia au mwanaume kuvaa hereni sikio la kulia
Kwanini kulia???
Kiasili kulia ni nyuma na kushoto ni mbele na ndio maana hata kwenye gwaride au kwenye kupanda gari au kushuka unatangulia mguu wa kushoto, mambo mengi yasiyo ya kawaida sana hushughulika na mkono wa kushoto kwenye kutangulia
Hivyo basi kwa kuvaa g-string au kikuku mgumu wa kulia au hereni hereni sikio la kulia humaanisha kitu kimoja tu kuwa wewe ni mshirika wa kabaang..!
Usivae kitu kwa kuiga bali vaa pia ukijua maana.. la sivyo...!!!!!
Hiyo mini kabang inaonesha inapendwa sana siku hizi. Kuna dada jana alikuwa anabishana na wapangaji wake akiwataka wasepe kwenye nyumba yake, sasa wale wapangaji wa kike wakawa wanasema hawawezi kuondoka kabla ya mkataba. Lol, yule dada mwenye nyumba akasema kwa taarifa yenu nitampa tiGO mume wangu atawatimua tu, kwa sababu yule baba nanii nikimpa hiyo Kabang huwa hapumui kwangu. Sasa hapa nikajifunza kumbe unaweza kusalitiwa au kufanyiwa fitina kwa ajili ya hiyo huduma pendwa.
Kharamu yote tam sana hebu angalia kiti moto inavopendwa ndo maana mimi...akha..! Labda nishikiwe kisu ndo naweza kula