Kichuya kupaa Uarabuni

Kichuya kupaa Uarabuni


Msuva ame prove ubora wake kwa misimu 2 bila chembe ya shaka....

Huyo kichuya amekatika upepo nusu msumu, Yaani amefanana kwa idadi ya mabao na raphael daud.
Ngada inalevya,Kichuya anacheza nafasi gani?
 
Hivi mnadhani kucheza uarabuni ni kazi nyepesi ehhh? Yakupasa uonyeshe kama unaweza kwanza kwenye ligi ndio uende huku. Sio kufunga bao la kona dhidi ya Yanga SC ndio ukajiona unajua.

Aombe ushauri kwa Msuva kwanza.
Punguza chuki itakusaidia kwenye maisha yako ya kawaida kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom