OKW BOBAN SUNZU Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 53,868 Reaction score 121,001 Aug 13, 2017 #21 demigod said: Msuva ame prove ubora wake kwa misimu 2 bila chembe ya shaka.... Huyo kichuya amekatika upepo nusu msumu, Yaani amefanana kwa idadi ya mabao na raphael daud. Click to expand... Ngada inalevya,Kichuya anacheza nafasi gani?
demigod said: Msuva ame prove ubora wake kwa misimu 2 bila chembe ya shaka.... Huyo kichuya amekatika upepo nusu msumu, Yaani amefanana kwa idadi ya mabao na raphael daud. Click to expand... Ngada inalevya,Kichuya anacheza nafasi gani?
mjukuum JF-Expert Member Joined Dec 8, 2014 Posts 5,258 Reaction score 2,842 Aug 13, 2017 #22 demigod said: Hivi mnadhani kucheza uarabuni ni kazi nyepesi ehhh? Yakupasa uonyeshe kama unaweza kwanza kwenye ligi ndio uende huku. Sio kufunga bao la kona dhidi ya Yanga SC ndio ukajiona unajua. Aombe ushauri kwa Msuva kwanza. Click to expand... Punguza chuki itakusaidia kwenye maisha yako ya kawaida kabisa Sent using Jamii Forums mobile app
demigod said: Hivi mnadhani kucheza uarabuni ni kazi nyepesi ehhh? Yakupasa uonyeshe kama unaweza kwanza kwenye ligi ndio uende huku. Sio kufunga bao la kona dhidi ya Yanga SC ndio ukajiona unajua. Aombe ushauri kwa Msuva kwanza. Click to expand... Punguza chuki itakusaidia kwenye maisha yako ya kawaida kabisa Sent using Jamii Forums mobile app
Lyn Vivac JF-Expert Member Joined Aug 30, 2016 Posts 858 Reaction score 1,019 Aug 13, 2017 #23 Ghazwat said: Wageni wa kuuza mchezaji utawajua tu,ushamba hauishi kwao, si mlikuwa hamtaki aondoke nyinyi..! Click to expand... Hahhaaaaaaahahhahahaaa[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Sent using Jamii Forums mobile app
Ghazwat said: Wageni wa kuuza mchezaji utawajua tu,ushamba hauishi kwao, si mlikuwa hamtaki aondoke nyinyi..! Click to expand... Hahhaaaaaaahahhahahaaa[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Sent using Jamii Forums mobile app