Kichuya naye alikuwepo

Kichuya naye alikuwepo

bryan2

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
3,323
Reaction score
4,679
KIchuya naye alikuwepo,Mwanjali naye alikuwepo,Ajibu naye Alikuwepo,Mkude naye alikuwepo,Kwa Mavugo sijui kama alikuwepo.

Majina ya AFRICAN yanaonesha sio majina ya mchezo mchezo ndio naweza kusema hivyo japo kwa Ufupi mnoo

Pale Sokoine Prison 0 Young African 1 goli Msuva mchezaji bora wa mwezi Octoba

Pale Uhuru African Lyon 1 Simba 0 sijajua kuhusu suala la Viti kama viko salama au vya pale havingoleki nini??

Matokeo mengine Mbao fc 2 Azam 1,Stay tune tutazidi kuwajulisha matokeo mengine kama tutakavyoyapata.
 
Yaani huyo janja yake ni penati na offside tuuu, ndiyo maana wamatopeni wanafikiria kumrudisha babu okwi!
 
Mikia fc hamna mpira ilikua soda tu zile,mpaka sasa hivi ndio timu inayoongoza kwa kupewa penat
 
Hawa jamaa wanakelele aisee,ngoja Yanga aanze kazi yake.
 
Hawa jamaa wanakelele aisee,ngoja Yanga aanze kazi yake.
Wanasema kimya kimya hakuna haja ya kupiga kelele pasi fupi fupi tu mpaka wataomba poo wenyewe
 
Kiko wapi? Makelelee meeeengi, kumbe hawachelewi kukata pumzi... Wakae pembeni wanaume waja....
 
leo alikua analia,huyu mtoto itakua sio rizki kila saa kanalialia
 
Back
Top Bottom