Mbona hujasema pia kuwa huwa nakuweka / nakupakuwa? au hii ibakie tu kuwa Siri yetu?Tatizo jamaa Hana majukumu hana mke, hana watoto mademu anachukua wa kununua ingawa umri unamtupa mkono ndo maana muda mwingi anawaza ujinga
ANGALIZO
Ukijijua tu HUMPENDI na UNAMCHUKIA mno GENTAMYCINE na HUMKUBALI wala HUVUTIWI na MADA ( THREADS ) zake Kutwa hapa JamiiForums cha kufanya ni KUACHANA nae au MBLOKU ( IGNORE ) na endelea KUWASOMA MEMBERS wako ambao UNAWAPENDA, UNAWAKUBALI na unawaona ni BORA KWAKO na uniachie / uwaache wale MEMBERS Wanaonielewa waendelee KUHABARIKA, KUELIMIKA na KUBURUDIKA nami hapa JamiiForums.
Kitendo cha Kujijua huwa HUNIPENDI, HUNIKUBALI na HUVUTIWI na UWASILISHAJI Wangu hapa JamiiForums halafu bado tena UNAWASHWAWASHWA nami kama MBWA JIKE anayetaka KUPANDWA kunaonyesha kuwa UNANIKUBALI ( UNANIPENDA ) hadi KUMOYO na huku KUNICHUKIA Kwako ni KUZUGA tu.
Na bahati nzuri au mbaya nikianzisha MADA ( THREAD ) hapa huwa SIMUITI au SIMLAZIMISHI Mru Kusoma hivyo sitaki SHOBO za ki MAGOMENI MAPIPA KWA MACHENI.
Nimemal iza.
Kuliko Waliowazaeni?"Prince Luanda ANAANDIKA"
Mtoa mada mpuuzi forever
ujumbe huu najaribu kuuweka kwenye vitendo yaani mikono nairusha hatari kwa msisitizo.....ANGALIZO
Ukijijua tu HUMPENDI na UNAMCHUKIA mno GENTAMYCINE na HUMKUBALI wala HUVUTIWI na MADA ( THREADS ) zake Kutwa hapa JamiiForums cha kufanya ni KUACHANA nae au MBLOKU ( IGNORE ) na endelea KUWASOMA MEMBERS wako ambao UNAWAPENDA, UNAWAKUBALI na unawaona ni BORA KWAKO na uniachie / uwaache wale MEMBERS Wanaonielewa waendelee KUHABARIKA, KUELIMIKA na KUBURUDIKA nami hapa JamiiForums.
Kitendo cha Kujijua huwa HUNIPENDI, HUNIKUBALI na HUVUTIWI na UWASILISHAJI Wangu hapa JamiiForums halafu bado tena UNAWASHWAWASHWA nami kama MBWA JIKE anayetaka KUPANDWA kunaonyesha kuwa UNANIKUBALI ( UNANIPENDA ) hadi KUMOYO na huku KUNICHUKIA Kwako ni KUZUGA tu.
Na bahati nzuri au mbaya nikianzisha MADA ( THREAD ) hapa huwa SIMUITI au SIMLAZIMISHI Mru Kusoma hivyo sitaki SHOBO za ki MAGOMENI MAPIPA KWA MACHENI.
Nimemaliza.
haya bana,Baiskeli tu sina hilo Gari nilitoe wapi Mkuu?
Rubbish and Nonsensical.1. Hakuna Mtu anayekuchukia kwasababu mimi Binafsi sikukujui na sitaki hata kukujua.
2. WATU hawapendi uwasilishaji wako wa habari, UMBEA mwingi, USHIRIKINA mwingi, uongo Mwingi, kujisifu mbwembwe na kebehi.
3. Taarifa zako nyingi zimejaa UTOTO na hakuna cha maana unachokiandika.
Hakuna source Wala Reference yoyote.
4. Unavyoviandika havina Maana kwenye Jamii na ni Taka taka WATU hawajifunzi chochote KUPITIA wewe.
5 Mwisho wa siku unajaza serva za Jamii Forum bila sababu yoyote ya maana
Ukichaa wangu unauzidi wa aliyekuleta duniani?Kaka Achana nae kwa kuitunza heshima yako
Ukiwa unaoga KICHAA akakimbia na NGUO zako usimkimbize utaonekana wewe KICHAA.
LINDA HESHIMA YAKO.
Yaani kabisa GENTAMYCINE niombee Yanga SC Ushindi na Mafanikio? Sina Unafiki huo na labda niwe Nimerogwa vilivyo.Tuache ushabiki tuziombee timu zetu
Kama wale wanaowaleteni duniani.Vichaa wa siku hizi wavivu,hata hawakimbizi watu
King wa majuhaHuna uwezo wa Kupambana nami Simbilizi Mmoja Wewe. Wamenishindwa Magwiji hapa tokea 2013 ndiyo utaniweza Wewe?
Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!!
Anayekuweka nae pia huwa unamsifia hivi Kimahaba?k
kaka una maneno makali wew duh
Kama Ukoo wako.King wa majuha
Hopeless.Asante sana.
🙏
we kaka samahan sana....Anayekuweka nae pia huwa unamsifia hivi Kimahaba?
Acha kuvamia Vita Kali usiyoiweza sawa?we kaka samahan sana....