Kichwa cha Habari Gazeti la Mwanaspoti lenye Mhariri Mkuu mwana Yanga SC limemaliza Ubishi Makundi CAFCL

Tatizo jamaa Hana majukumu hana mke, hana watoto mademu anachukua wa kununua ingawa umri unamtupa mkono ndo maana muda mwingi anawaza ujinga
 
Mbona hujasema pia kuwa huwa nakuweka / nakupakuwa? au hii ibakie tu kuwa Siri yetu?
 
ANGALIZO

Ukijijua tu HUMPENDI na UNAMCHUKIA mno GENTAMYCINE na HUMKUBALI wala HUVUTIWI na MADA ( THREADS ) zake Kutwa hapa JamiiForums cha kufanya ni KUACHANA nae au MBLOKU ( IGNORE ) na endelea KUWASOMA MEMBERS wako ambao UNAWAPENDA, UNAWAKUBALI na unawaona ni BORA KWAKO na uniachie / uwaache wale MEMBERS Wanaonielewa waendelee KUHABARIKA, KUELIMIKA na KUBURUDIKA nami hapa JamiiForums.

Kitendo cha Kujijua huwa HUNIPENDI, HUNIKUBALI na HUVUTIWI na UWASILISHAJI Wangu hapa JamiiForums halafu bado tena UNAWASHWAWASHWA nami kama MBWA JIKE anayetaka KUPANDWA kunaonyesha kuwa UNANIKUBALI ( UNANIPENDA ) hadi KUMOYO na huku KUNICHUKIA Kwako ni KUZUGA tu.

Na bahati nzuri au mbaya nikianzisha MADA ( THREAD ) hapa huwa SIMUITI au SIMLAZIMISHI Mru Kusoma hivyo sitaki SHOBO za ki MAGOMENI MAPIPA KWA MACHENI.

Nimemal iza.

1. Hakuna Mtu anayekuchukia kwasababu mimi Binafsi sikukujui na sitaki hata kukujua.

2. WATU hawapendi uwasilishaji wako wa habari, UMBEA mwingi, USHIRIKINA mwingi, uongo Mwingi, kujisifu mbwembwe na kebehi.

3. Taarifa zako nyingi zimejaa UTOTO na hakuna cha maana unachokiandika.
Hakuna source Wala Reference yoyote.

4. Unavyoviandika havina Maana kwenye Jamii na ni Taka taka WATU hawajifunzi chochote KUPITIA wewe.

5 Mwisho wa siku unajaza serva za Jamii Forum bila sababu yoyote ya maana
 
Nimemaliza.
ujumbe huu najaribu kuuweka kwenye vitendo yaani mikono nairusha hatari kwa msisitizo.....

halafu anae anaembiwa kakaa kwenye bench, ana kikombe cha uji wa moto na ujumbe wa moto vilevile dah
Baiskeli tu sina hilo Gari nilitoe wapi Mkuu?
haya bana,
ila lift ntaendelea kuomba na kupanda gari lako ntaendelea kupanda tu...
 
1. Hakuna Mtu anayekuchukia kwasababu mimi Binafsi sikukujui na sitaki hata kukujua.

2. WATU hawapendi uwasilishaji wako wa habari, UMBEA mwingi, USHIRIKINA mwingi, uongo Mwingi, kujisifu mbwembwe na kebehi.

3. Taarifa zako nyingi zimejaa UTOTO na hakuna cha maana unachokiandika.
Hakuna source Wala Reference yoyote.

4. Unavyoviandika havina Maana kwenye Jamii na ni Taka taka WATU hawajifunzi chochote KUPITIA wewe.

5 Mwisho wa siku unajaza serva za Jamii Forum bila sababu yoyote ya maana
Rubbish and Nonsensical.
 
Kaka Achana nae kwa kuitunza heshima yako

Ukiwa unaoga KICHAA akakimbia na NGUO zako usimkimbize utaonekana wewe KICHAA.

LINDA HESHIMA YAKO.
Ukichaa wangu unauzidi wa aliyekuleta duniani?
 
Back
Top Bottom