Kichwa cha Habari Gazeti la Mwanaspoti lenye Mhariri Mkuu mwana Yanga SC limemaliza Ubishi Makundi CAFCL

Hapana, hiyo ndio tafsiri ya Mwanaspoti, halafu mimk sio Mwanayanga kwa taarifa yako
 
Hapana, hiyo ndio tafsiri ya Mwanaspoti, halafu mimk sio Mwanayanga kwa taarifa yako
Kwahiyo baada ya Yanga SC kupangiwa Kundi Gumu ( la Kifo ) jana CAFCL ndiyo umeamua Kuikana kwa kusema Wewe siyo mwana Yanga SC tena?

Kudadadeki..... Shikamoo CAF.
 
Yaan ufungwe na ihefu halafu ndio uwe na ndoto za kumfunga Al ahyl ndoto za Abunuwasi watapigwa game nje ndani ugenini anakufa zote 3 hapa anakufa na Al ahyl na sare Belzodad ataondoka na point 4 anashika mkia waliona rahisi kwa Simba šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚
 
Kwahiyo baada ya Yanga SC kupangiwa Kundi Gumu ( la Kifo ) jana CAFCL ndiyo umeamua Kuikana kwa kusema Wewe siyo mwana Yanga SC tena?

Kudadadeki..... Shikamoo CAF.
Mi shabiki wa Simba mzee ila sina unafiki, ni kweli Simba tumepangwa kundi rahisi sana na tukishindwa wenyewe kupenya, itabidi management ya timu iwajibike (kujiuzulu)

Yanga wamepangwa pagumu, wapo mtegoni
 
Acha kujifanya mungu mtu
 
Kupangwa na Al Ahly "šŸ”ŠšŸŽ¼...Mlikutaka wenyewe, ndi ndi ndiii. Chaguo lenu wenyewe, ndi ndi ndiii. Mkivimba mpasuke. Acheni makasiriko eeeh, wajinga nyie,CAF na TFF mbele kwa mbeleeee. x 2šŸŽµšŸŽ¶

Oooh, sisi ni timu 'kuba' sana. Tunataka tupangwe na Al Ahly, Mamelodi au hata Manchester City maana hao ndo wa level zetu. Mara paaaap! Unaletewa Al Ahly kama ulivyoomba. Sherehe ya Jubilei ya miaka 25 bila kuingia makundi imepatwa na kiharusi.
 
Acha kutushishia watu na mikwara Yako mbuzi wewe,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…