Kichwa cha Habari Gazeti la Mwanaspoti lenye Mhariri Mkuu mwana Yanga SC limemaliza Ubishi Makundi CAFCL

Kichwa cha Habari Gazeti la Mwanaspoti lenye Mhariri Mkuu mwana Yanga SC limemaliza Ubishi Makundi CAFCL

Kwahiyo mnaomba / unaomba tubadilishane au? Hivi Kichwani mwako zikiwa zinakutosha kabisa unaweza kusema kuwa katika hatua ya 16 Bora ( Makundi ) haya kuna Kundi Mchekea na kuna Kundi Gumu?

Halafu GENTAMYCINE nikiwa nawadharau Kutwa hapa kuwa hamna Akili mnakasirika.

Haya kwa Niaba ya wana Yanga SC Wenzako mnaolialia kuwa mmepangiwa Kundi Gumu ( la Kifo ) jana CAFCL tuambieni nyie mlikuwa mnataka / mnaomba mpangiwe na akina nani hasa ili mridhike na mfurahi?
Hapana, hiyo ndio tafsiri ya Mwanaspoti, halafu mimk sio Mwanayanga kwa taarifa yako
 
Hapana, hiyo ndio tafsiri ya Mwanaspoti, halafu mimk sio Mwanayanga kwa taarifa yako
Kwahiyo baada ya Yanga SC kupangiwa Kundi Gumu ( la Kifo ) jana CAFCL ndiyo umeamua Kuikana kwa kusema Wewe siyo mwana Yanga SC tena?

Kudadadeki..... Shikamoo CAF.
 
Yaan ufungwe na ihefu halafu ndio uwe na ndoto za kumfunga Al ahyl ndoto za Abunuwasi watapigwa game nje ndani ugenini anakufa zote 3 hapa anakufa na Al ahyl na sare Belzodad ataondoka na point 4 anashika mkia waliona rahisi kwa Simba 😂😂😂
 
Kwahiyo baada ya Yanga SC kupangiwa Kundi Gumu ( la Kifo ) jana CAFCL ndiyo umeamua Kuikana kwa kusema Wewe siyo mwana Yanga SC tena?

Kudadadeki..... Shikamoo CAF.
Mi shabiki wa Simba mzee ila sina unafiki, ni kweli Simba tumepangwa kundi rahisi sana na tukishindwa wenyewe kupenya, itabidi management ya timu iwajibike (kujiuzulu)

Yanga wamepangwa pagumu, wapo mtegoni
 
ANGALIZO

Ukijijua tu HUMPENDI na UNAMCHUKIA mno GENTAMYCINE na HUMKUBALI wala HUVUTIWI na MADA ( THREADS ) zake Kutwa hapa JamiiForums cha kufanya ni KUACHANA nae au MBLOKU ( IGNORE ) na endelea KUWASOMA MEMBERS wako ambao UNAWAPENDA, UNAWAKUBALI na unawaona ni BORA KWAKO na uniachie / uwaache wale MEMBERS Wanaonielewa waendelee KUHABARIKA, KUELIMIKA na KUBURUDIKA nami hapa JamiiForums.

Kitendo cha Kujijua huwa HUNIPENDI, HUNIKUBALI na HUVUTIWI na UWASILISHAJI Wangu hapa JamiiForums halafu bado tena UNAWASHWAWASHWA nami kama MBWA JIKE anayetaka KUPANDWA kunaonyesha kuwa UNANIKUBALI ( UNANIPENDA ) hadi KUMOYO na huku KUNICHUKIA Kwako ni KUZUGA tu.

Na bahati nzuri au mbaya nikianzisha MADA ( THREAD ) hapa huwa SIMUITI au SIMLAZIMISHI Mru Kusoma hivyo sitaki SHOBO za ki MAGOMENI MAPIPA KWA MACHENI.

Nimemaliza.
Acha kujifanya mungu mtu
 
Kupangwa na Al Ahly "🔊🎼...Mlikutaka wenyewe, ndi ndi ndiii. Chaguo lenu wenyewe, ndi ndi ndiii. Mkivimba mpasuke. Acheni makasiriko eeeh, wajinga nyie,CAF na TFF mbele kwa mbeleeee. x 2🎵🎶

Oooh, sisi ni timu 'kuba' sana. Tunataka tupangwe na Al Ahly, Mamelodi au hata Manchester City maana hao ndo wa level zetu. Mara paaaap! Unaletewa Al Ahly kama ulivyoomba. Sherehe ya Jubilei ya miaka 25 bila kuingia makundi imepatwa na kiharusi.
 
ANGALIZO

Ukijijua tu HUMPENDI na UNAMCHUKIA mno GENTAMYCINE na HUMKUBALI wala HUVUTIWI na MADA ( THREADS ) zake Kutwa hapa JamiiForums cha kufanya ni KUACHANA nae au MBLOKU ( IGNORE ) na endelea KUWASOMA MEMBERS wako ambao UNAWAPENDA, UNAWAKUBALI na unawaona ni BORA KWAKO na uniachie / uwaache wale MEMBERS Wanaonielewa waendelee KUHABARIKA, KUELIMIKA na KUBURUDIKA nami hapa JamiiForums.

Kitendo cha Kujijua huwa HUNIPENDI, HUNIKUBALI na HUVUTIWI na UWASILISHAJI Wangu hapa JamiiForums halafu bado tena UNAWASHWAWASHWA nami kama MBWA JIKE anayetaka KUPANDWA kunaonyesha kuwa UNANIKUBALI ( UNANIPENDA ) hadi KUMOYO na huku KUNICHUKIA Kwako ni KUZUGA tu.

Na bahati nzuri au mbaya nikianzisha MADA ( THREAD ) hapa huwa SIMUITI au SIMLAZIMISHI Mru Kusoma hivyo sitaki SHOBO za ki MAGOMENI MAPIPA KWA MACHENI.

Nimemaliza.

Kuhusu Tuzo za Jukwaa la Michezo ( Sports ) hapa JamiiForums nakuhakikishia nitashinda kila mwaka na hata niliyemshinda na anayenichukia hadi leo Greatest Of All Time analijua.

Na nitapenda kama na kwa Msimu huu litakuwepo tena basi nishindanishwe na Juha ( Fool ) Wewe ili nikikushinda uweze kuijua Nguvu Kubwa niliyonayo GENTAMYCINE ambayo nimebarikiwa nayo na Mwenyezi Mungu sawa?

Huna Akili....

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!!
Acha kutushishia watu na mikwara Yako mbuzi wewe,
 
Back
Top Bottom