Mambo vip kaka hii inshu yako uliisolve maana mwanangu anashida hii piaWasalaam JF,
Nina mtoto wa miezi saba (7) ambaye tangu akiwa na miezi minne amekuwa na tabia ya kuwa na joto kali kichwani wakati sehemu zingine za mwili zipo na joto la kawaida. Hii imekuwa ikitokea mara kadhaa hasa usiku. Nilimwona Dr wa watoto nikamweleza akasema inawezekana ni VIRAL infection kwa hiyo itakwisha yenyewe. Sasa anamiezi saba na hiyo hali imekuwa ikijirudia.
Naomba ushauri kwa anayefahamu au aliyewahi kukutana na hali kama hii
Natanguliza shukurani
Mkuu hayo meno yalikua ya juu au ya chin? Wa kwangu ameota ya chin lakin cha moto ikifika mida ya jioniWangu wa kwanza nilikuwa namshangaa ila nikagundua kuwa Luna meno yalikuwa yanaota..
Huyu wa pili wala sijaumiza kichwa.
Nahisi ni meno pia yanawasumbua watoto wenu.(
Yote mkuu yalikuwa yanafanya kichwa kinakuwa cha moto kabisa l. Ila sikumpeleka hospital japo aklikuwa anaendesha si haba. Nyonyo kwa sana.Mkuu hayo meno yalikua ya juu au ya chin? Wa kwangu ameota ya chin lakin cha moto ikifika mida ya jioni
Nimekusoma mkuu mimi kaendesha kwelikweli kamaliza wiki iliyoisha ila kwa sasa amestop alikua anapewa nyonyo kwa sana na maji kwa wingi. Ila kwa sasa naona kichwa ikifika mida ya jioni kinakua cha moto....Yote mkuu yalikuwa yanafanya kichwa kinakuwa cha moto kabisa l. Ila sikumpeleka hospital japo aklikuwa anaendesha si haba. Nyonyo kwa sana.