Kichwa Cha Mtoto Kuwa na joto kali

Kichwa Cha Mtoto Kuwa na joto kali

ubongokid

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2017
Posts
2,154
Reaction score
4,184
Habari za jioni:
Mwanangu wa kike ana umri wa miezi 11 hivi:

Kwa muda sasa amekuwa na Joto kali sana kichwani sio kwenye paji la uso wala sehemu nyingine ya Mwili ni kichwani.Anaacheza na kula kawaida n wala hajanipa sababu y kuhofia ila nimeuliza tu kufahamu kama kuna Daktari mwingine aliyewahi deal ni hii hali,Na kama kuna sabbu ya kuwa na shaka
 
MPELEKE KWA NABII AKAOMBEWE!
 
Hyperthermia dalili ya atar kwa mtt wahi kituo cha afya mapema
 
Boss unajua hyperthemia ni kitu tofauti na ninachoongelea.Huyu mtoto mwili wake wote ni normal temperature na akiwa na homa anapata temperature kama kawaida.Tatizo ni kichwa cha moto tena huku kwenye nywele ila kwanye paji la uso ni normal temperature
 
Umesema joto kali na joto kali ni dalili za hatar kwa mtt mchanga kama unabishana tena chukua kichwa ya mtt tia kwenye frij
 
Mpeleke kwa dokta wa watoto aisee. It's not normal
 
Muache ni mbishi uyo
Sio ubishi,sijakuelewa nafahamu hypothermia but hii sio.ni muda wote.Na mtoto yuko normal,yaani anakula vizuri,anacheza vizuri,analala vizuri,anaumwa magonjwa ya kawaida a anatumia dawa anapon ila kichwa ndo cha moto hivo hivo
 
Mpeleke kwa wataalamu Kuna mtu alizembea kwa mwanawe hivo hivo mpaka leo mtoto hayuko vzuri kichwani. Alikuwa kichwa chapata moto sana. Mtoto kula haimaanishi ndo mzima hebu Kuwa na huruma na huyo mtoto
 
Sio ubishi,sijakuelewa nafahamu hypothermia but hii sio.ni muda wote.Na mtoto yuko normal,yaani anakula vizuri,anacheza vizuri,analala vizuri,anaumwa magonjwa ya kawaida a anatumia dawa anapon ila kichwa ndo cha moto hivo hivo
[emoji124][emoji124][emoji124]
 
Back
Top Bottom