All in all bado tutaletewa old fashion trust me! Hatuwezi kamwe kuletewa vyuma vya kisasa vinavyotrend huko kwao
Kumbuka speed jet fighters tulizoletewa na wavimba macho, zilikuwa tayari outdated kule kwao.. We are still their dampling site
halafu CCM wasiandae hata sherehe za kupokea kichwa hicho?
Si tatizo kwenye hatua hiyo ngoja tusubiri matokeo kama tutaletewa nyama au dagaa wa nyama
Umenena vyema, watanzania kiwango cha kupambanua mambo kipo chini mno.Wakati mwingine nikifuatilia maoni ya wabongo wenzangu, huwa sishangai kwa nini hadi leo tumekuwa watumwa wa CCM...
Watu hawana muda na kutafakari kabisaaaaaa...
Ushaambiwa kichwa kimeletwa kufanya majaribio ya vitu kadha wa kadha, kucheck kama reli inaweza support desired top speed, kucheck mifumo ya mawasiliano kama inafanya kazi sawa, kiwango cha umeme n.k., lakini bado kuna watu wamekomaa kuona kama hicho kichwa ndio prototype...
Yaani mtu hata hajiulizi, kama hiyo locomotive ndio itayopiga mzigo mbona kije kichwa tu na hakuna mabehewa?
Ukiachana na hilo, hivi kweli kipokelewe kichwa kitachopiga mzigo safari zikianza, halafu CCM wasiandae hata sherehe za kupokea kichwa hicho? Yaani si tungemuona Samia kaweka maturubai hapo bandarinkama wanavyofanya kwenye upokeaji wa ndege...
Mkataba wetu na serikali yenu haupo hivyo unavyotaka wewe, sisi tulikubaliana kupitia International agreements Laws in infrastructure so uwe mvumilivu.Mimi kwa akili zangu watoto ni wale waliodanganya kusema ni cha mkandarasi maana walijua wataulizwa yaani unatengeneza reli ya kisasa harafu unaleta chakavu ndio ifanye majaribio yepi kama sio uongo...kwa nini wasilete vyenyewe hata kwa kusubiri
Hivi unawezaje kutest kwa kitu kisicho halisi, ..yaani kinatestiwa hicho cha jana halafu vitakavyokuja kufanya kazi ni vingine huoni kama hakuna uhalisia hapo?
[emoji1787][emoji23]View attachment 2127942Kueni watulivu jamani pengine ni uchovu wa safari kikipumzika kitakua kama hivi
Si tatizo kwenye hatua hiyo ngoja tusubiri matokeo kama tutaletewa nyama au dagaa wa nyama
Mbona dereva anatestiwa kwa volvo kisha anapewa scania? Shida sura au matumizi!?Hivi unawezaje kutest kwa kitu kisicho halisi, ..yaani kinatestiwa hicho cha jana halafu vitakavyokuja kufanya kazi ni vingine huoni kama hakuna uhalisia hapo?
Unanunua kulingana na uwezo hakuna manufacturer atakataa kukuuzia kama mzigo upo.All in all bado tutaletewa old fashion trust me! Hatuwezi kamwe kuletewa vyuma vya kisasa vinavyotrend huko kwao
Kumbuka speed jet fighters tulizoletewa na wavimba macho, zilikuwa tayari outdated kule kwao.. We are still their dampling site
Asante kwa ufafanuzi[emoji1545]Mkuu, hicho kichwa kilicholetwa ni product ya Austria (Ulaya), kimeundwa na makampuni mawili ambayo ni SGP Graz (mechanical) ELIN (electrical)
Treni zitazokuja piga mzigo, order yake ni kutoka Korea ya Kusini (Asia) na itaundwa na Hyundai Rotem
😂😂😂😂😂View attachment 2127942Kueni watulivu jamani pengine ni uchovu wa safari kikipumzika kitakua kama hivi