Wakati mwingine nikifuatilia maoni ya wabongo wenzangu, huwa sishangai kwa nini hadi leo tumekuwa watumwa wa CCM...
Watu hawana muda na kutafakari kabisaaaaaa...
Ushaambiwa kichwa kimeletwa kufanya majaribio ya vitu kadha wa kadha, kucheck kama reli inaweza support desired top speed, kucheck mifumo ya mawasiliano kama inafanya kazi sawa, kiwango cha umeme n.k., lakini bado kuna watu wamekomaa kuona kama hicho kichwa ndio prototype...
Yaani mtu hata hajiulizi, kama hiyo locomotive ndio itayopiga mzigo mbona kije kichwa tu na hakuna mabehewa?
Ukiachana na hilo, hivi kweli kipokelewe kichwa kitachopiga mzigo safari zikianza, halafu CCM wasiandae hata sherehe za kupokea kichwa hicho? Yaani si tungemuona Samia kaweka maturubai hapo bandarinkama wanavyofanya kwenye upokeaji wa ndege...