Kichwa cha Tumbusi na maajabu yake

Hawa ndege kwa Tanzania wanapatikana wapi siku hizi ?
Wanapatikana Hifadhi ya Ruaha,kwa uchache,wapo hatarini kutoweka kwa sababu;

Tumbusi ni ndege muhimu​

kwenye mfumo wa uhai.Hii ni kwa sababu ndiye anayesafisha mazingira baada ya wanyama wote kuwinda, kula na kusaza mizoga. Hata hivyo baadhi ya wakazi waliko ndege hao huwatilia sumu wanyamapori wanaowatatiza katika mashamba na vijijini.Sasa Wanapodondoka porini au popote na kufa. Tumbusi huathirika kwa kula mizoga yenye sumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…