Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,794
- 5,352
Tumbusi ndio tai??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo Wabongo mushazoea kutapeliwa, na ndio maana kila siku munatapeliwa.
Uyu kwa kizungu si ndo anaitwa "VULTURE"
Tumbusi ndio tai, nadhani wanatofautiana aina za muonekano tu kulingana na wanapotokea.Ndege Tumbusi au Tai ?
🤣 🤣 🤣 Fursa...Nauza ndege [emoji211] tumbusi kwa maelezo zaidi piemu
Hawa ndege kwa Tanzania wanapatikana wapi siku hizi ?
Wanapatikana Hifadhi ya Ruaha,kwa uchache,wapo hatarini kutoweka kwa sababu;Hawa ndege kwa Tanzania wanapatikana wapi siku hizi ?