Kichwa cha uume kimevimba kama ngumi ya mtoto mchanga

Kichwa cha uume kimevimba kama ngumi ya mtoto mchanga

Siuende hospitali jamani, hayo mambo ya mizizi utajikuta unaongeza tatizo maradufu,hebu achana na hizo Imani nenda hospitali Kwanza unaweza kukuta ni tatizo la kawaida tu na linatatulika kitaalam wewe unataka dawa asili.
 
Wadau hahabrini zaasubuhi,kuna jambo kidogo ningependa kuwashirikisha ili nione mnanisaidiaje,,

Nimeamka asubuhi muda huu kama ilivyoada kwauume kusimama kiafya,kwangu nimeona utofauti kwani uume umesimama kuelekea mbele then umejikunja kati kati karbu na mwanzoni kidogo kuelekea juu..

Sambamba nailo kichwa kimekua kikubwa kama ngumi yamtoto mdogo ila hakuna maumivu mbalina kuwasha tu.

Najua hii ni michezo tumidogo yawalimwengu, hivyo nimetumia uungwana kuja humu ili nione km naeza pata msaada wa dawa physically za asili, not spiritually.

Nina uwezo wa kuondoa ii kitu spiritually ila nataka nijaribu tu kwadawa za asili ili nione effect yake

Hii ni dunia, dunia ni walimwengu na walimwengu ni sisi...mwenye kuelewa aelewe... inafika wakati mke anataka kunikimbia ila namuambia usiende.
Uzi bila picha ni BATILI & CHAI
 
Kwanz Pole sana ila navyo kuona unaminisana mambo ya ulozi ambayo unahisi utapona any way sinto kupinga sana japo kwa ushauri wangu ungeendq hospitali ungepata mawazo mbadala .... japo nikweli haya mambo yapo
 
Gono nalo huwa linavimbisha uume sijui uume wako kama umevimbaje ungeweka hata picha yako tukija kwenye uchawi pia nasikia huku Iringa kuna mganga maarufu kwa sasa kawavimbisha wengi wanaotembea na watu
 
Back
Top Bottom