Kichwa changu kwa kusahau kinaongoza!

Kichwa changu kwa kusahau kinaongoza!

Hii kitu kusahau naiogopa sana, kuna dingi aliingia supamaketi akanunua atakavyo kisha akatoka nje akaita tex akasepa home, jioni akiwa nyumbani anawaambia watoto waoshe gari, watoto wanamwambia baba gari hakuna nje, akashtuka kumbe kaacha parking ya supamaketi tangu mchana.

Kuna mmoja nilikuwa nafanya kazi nae, alikuwa msahaulifu bosi akamwambia awe anatembea na note book kwa ajili ya kuandika to do list, siku ya kwanza tu akasahu wapi kaweka notebook yake, bosi akampa nyingine lakini baada ya masaa mawili akasahau wapi kaweka kalamu.
 
Siku moja asubuhi naenda kazini kichwa ilinichanganya mpaka nikajiuliza hivi kichwa yangu ndo inaongoza kwa kusahau duniani au? Asubuhi natoka ndani nikachukua ufunguo wa gari nikatia mfukoni.
1.Kufika mlango wa kutokea nje nikakumbuka nimesahau kuchukua funguo za gari;
2.Niliporudi chumbani kichwa ikawa imesahau nilirudi kufuata nini, nikatoka zangu kuelekea kwenye gari;
3.Kushika mlango wa gari ndo nikakumbuka nimesahau kuchukua ufunguo, nikarudi ndani na kuzitafuta bila kuziona. Nikamuuliza my wife, funguo za gari ziko wap? Akaniambia 'si ulichukua baby ukatia mfukoni?' Kutia mkono mfukoni nikazikuta, yaani mimi ni jipu bas tu.
Mmmmmh...bac yafaa mh.Jpm akutembelee walau cku moja tuu
 
Wewe sio msahaulifu....mi nishaendaga ofisini Meimosi... Nikakaa masaa matatu sioni mtu, ikabidi nimpigie secretary ndio akanishtua kwamba ni holiday.
 
Siku moja asubuhi naenda kazini kichwa ilinichanganya mpaka nikajiuliza hivi kichwa yangu ndo inaongoza kwa kusahau duniani au? Asubuhi natoka ndani nikachukua ufunguo wa gari nikatia mfukoni.
1.Kufika mlango wa kutokea nje nikakumbuka nimesahau kuchukua funguo za gari;
2.Niliporudi chumbani kichwa ikawa imesahau nilirudi kufuata nini, nikatoka zangu kuelekea kwenye gari;
3.Kushika mlango wa gari ndo nikakumbuka nimesahau kuchukua ufunguo, nikarudi ndani na kuzitafuta bila kuziona. Nikamuuliza my wife, funguo za gari ziko wap? Akaniambia 'si ulichukua baby ukatia mfukoni?' Kutia mkono mfukoni nikazikuta, yaani mimi ni jipu bas tu.
Not funny either!!
Anyway thanks kwa kufika
 
Angalia usifike choon ukasahau ulienda kutoa haja gani
 
Miss you like crazy
Me too loving wife nimekutunzia lakini
53b78dbe83b2fb236cd499f0540e842d.jpg
 
Hii kitu kusahau naiogopa sana, kuna dingi aliingia supamaketi akanunua atakavyo kisha akatoka nje akaita tex akasepa home, jioni akiwa nyumbani anawaambia watoto waoshe gari, watoto wanamwambia baba gari hakuna nje, akashtuka kumbe kaacha parking ya supamaketi tangu mchana.

Kuna mmoja nilikuwa nafanya kazi nae, alikuwa msahaulifu bosi akamwambia awe anatembea na note book kwa ajili ya kuandika to do list, siku ya kwanza tu akasahu wapi kaweka notebook yake, bosi akampa nyingine lakini baada ya masaa mawili akasahau wapi kaweka kalamu.

Ulcers sugu na kisukari pia humfanya mgonjwa awe msahaulifu wa kupitiliza,
Kama huyo wa supermarket wengi sana wenye ulcers au kisukari yamewakuta hayo.
 
At least umekumbuka kurudi JF kujibu hoja! Kumbe huitaji doze ila unahitaji maji sana baada ya vodca ili usafishe system. Kumbuka ini likidhurikja utaanza kusahau kila kitu na choo hupati halafu utaanza kujikuna mwili wote. Muulize RY C anajua zaidi yetu how to cop. Kama Dementia andaa na pempers maana utaanza kusahau choo ilipo.
 
51644"]Siku moja asubuhi naenda kazini kichwa ilinichanganya mpaka nikajiuliza hivi kichwa yangu ndo inaongoza kwa kusahau duniani au? Asubuhi natoka ndani nikachukua ufunguo wa gari nikatia mfukoni.
1.Kufika mlango wa kutokea nje nikakumbuka nimesahau kuchukua funguo za gari;
2.Niliporudi chumbani kichwa ikawa imesahau nilirudi kufuata nini, nikatoka zangu kuelekea kwenye gari;
3.Kushika mlango wa gari ndo nikakumbuka nimesahau kuchukua ufunguo, nikarudi ndani na kuzitafuta bila kuziona. Nikamuuliza my wife, funguo za gari ziko wap? Akaniambia 'si ulichukua baby ukatia mfukoni?' Kutia mkono mfukoni nikazikuta, yaani mimi ni jipu bas tu.[/QUOTE]
 
Back
Top Bottom