Mmmmmh...bac yafaa mh.Jpm akutembelee walau cku moja tuuSiku moja asubuhi naenda kazini kichwa ilinichanganya mpaka nikajiuliza hivi kichwa yangu ndo inaongoza kwa kusahau duniani au? Asubuhi natoka ndani nikachukua ufunguo wa gari nikatia mfukoni.
1.Kufika mlango wa kutokea nje nikakumbuka nimesahau kuchukua funguo za gari;
2.Niliporudi chumbani kichwa ikawa imesahau nilirudi kufuata nini, nikatoka zangu kuelekea kwenye gari;
3.Kushika mlango wa gari ndo nikakumbuka nimesahau kuchukua ufunguo, nikarudi ndani na kuzitafuta bila kuziona. Nikamuuliza my wife, funguo za gari ziko wap? Akaniambia 'si ulichukua baby ukatia mfukoni?' Kutia mkono mfukoni nikazikuta, yaani mimi ni jipu bas tu.
Ukimpatia na mimi nibakishieKama ni kizalia haipo ila kama ni mambo yale ipo
Not funny either!!Siku moja asubuhi naenda kazini kichwa ilinichanganya mpaka nikajiuliza hivi kichwa yangu ndo inaongoza kwa kusahau duniani au? Asubuhi natoka ndani nikachukua ufunguo wa gari nikatia mfukoni.
1.Kufika mlango wa kutokea nje nikakumbuka nimesahau kuchukua funguo za gari;
2.Niliporudi chumbani kichwa ikawa imesahau nilirudi kufuata nini, nikatoka zangu kuelekea kwenye gari;
3.Kushika mlango wa gari ndo nikakumbuka nimesahau kuchukua ufunguo, nikarudi ndani na kuzitafuta bila kuziona. Nikamuuliza my wife, funguo za gari ziko wap? Akaniambia 'si ulichukua baby ukatia mfukoni?' Kutia mkono mfukoni nikazikuta, yaani mimi ni jipu bas tu.
Miss you like crazyIla umekumbuka kupost story nzima ya kusahau funguo
Hii kitu kusahau naiogopa sana, kuna dingi aliingia supamaketi akanunua atakavyo kisha akatoka nje akaita tex akasepa home, jioni akiwa nyumbani anawaambia watoto waoshe gari, watoto wanamwambia baba gari hakuna nje, akashtuka kumbe kaacha parking ya supamaketi tangu mchana.
Kuna mmoja nilikuwa nafanya kazi nae, alikuwa msahaulifu bosi akamwambia awe anatembea na note book kwa ajili ya kuandika to do list, siku ya kwanza tu akasahu wapi kaweka notebook yake, bosi akampa nyingine lakini baada ya masaa mawili akasahau wapi kaweka kalamu.
Wwoooh, thanks luv. [emoji8]Me too loving wife nimekutunzia lakini