Kichwa kinauma miaka miwili sasa

Kichwa kinauma miaka miwili sasa

Uncle Yoso

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2015
Posts
378
Reaction score
262
HABARI WANA JF
Mimi ni kijana wa miaka 19 nasumbuliwa na kuumwa na kichwa, kinauma sana sana na kinabana kwa zaidi ya miaka 2 sasa. Kikiuma hakielewi A wala B, nimekwenda hospitali bila kupata matokeo yoyote ambapo wananipima kwenye macho kadha wa kadha bila mafanikio na zaidi ni kuvaa miwani bila mafanikio yoyote na pia MIGUU HUWA INA CHOMA CHOMA NA KUISHIWA GANZI na sifahamu nini tatizo ambalo linasumbua.

NAOMBENI KUJUA TATIZO NI NINI WANA JF
 
Back
Top Bottom