Kichwa kupata joto kali wakati akilala- hili tatizo ni gani?

Kichwa kupata joto kali wakati akilala- hili tatizo ni gani?

Joined
Jun 23, 2010
Posts
14
Reaction score
0
hello wanajamii,
naomba kuuliza swali hili nina mtoto mdogo wa miaka miwili na miezi 7 huwa akilala anapata joto kali sana sehemu za kichwa tatizo ni nini hasa
 
Back
Top Bottom