MoneyMakers
Member
- Feb 25, 2008
- 64
- 9
Habarin za asubuh wapendwa wa jf natumain mu wazima
nahitaj msaada wenu juu ya hili tatizo nin kinasababisha kichwa kuuma sana hata ungetumia dawa tatizo liko palepale inafika kipind unaboreka sana na kukosa aman
msaada tafadhal
Ukiona kichwa kinauma au maumivu yeyote mwilini ambayo hayajasababishwa na ajali au jeraha, basi ni ishara kuwa mwili wako unazidiwa na asidi, kiasi cha alkaline kimepunguwa sana huku asidi inazidi kujijenga.
Maji huzuia na kuponya kabisa maumivu mbalimbali mwilini:
Ishara za mwanzo kabisa za asidi kuunguzwa ndani katikati ya seli au kwa maneno mengine asidi kuzidi kwenye seli za mwili na madhara ya kijenetiki ambayo yanaweza kujionesha, ni maumivu mbalimbali yanayozidi kujitokeza katika mwili.
Kutegemea na kiasi cha upungufu wa maji mwilini na namna na eneo lenyewe asidi ilipojijenga (ambayo ingeondolewa kwa kuongeza kunywa maji tu), maumivu maalumu ya mwili hujitokeza!
Maumivu hayo yanajumuisha; kiungulia (heart burn), maumivu ya moyo (angina), maumivu sehemu ya chini ya mgongo (lower back pain), yabisi (rheumatoid), maumivu ya kichwa (migraine headaches), homa za asubuhi kwa kina mama wajawazito na maumivu mengine mengi unaweza kuyataja.
Watu wengi siku hizi hawawezi kuishi bila kumeza aina fulani ya dawa ya kupunguza maumivu.
Ni rahisi kuelewa namna gani maumivu ambayo hayajasababishwa na ajari au maumbukizo yanavyoweza kujitokeza mwilini.
Viwanda vya madawa vinatumia mabilioni ya fedha kutafiti dawa hizi na zile za kuondoa maumivu na mabilioni mengine zaidi hutumika kutangaza aina fulani ya dawa za kuondoa maumivu.
‘Namna hii rahisi ya namna maumivu yanavyotengenezwa mwilini imetupumbaza wengi wetu sisi katika taaluma ya madawa tangu binadamu alipoanza kutafuta suluhu ya maumivu ya mwili kwa kutumia dawa – dr Batmanghelidj'.
Upungufu wa maji mwilini (dehydration) unaweza kutibiwa kwa kuongeza kunywa maji tena bure bila gharama yeyote.
Ili kuuelewa mfumo wa utengenezwaji wa maumivu mwilini, tunahitaji kwanza kujifunza namna usawa wa asidi na alkalini unavyofanya kazi mwilini.
Hali ya uasidi husababisha kuunguzwa kwa baadhi ya miishio ya neva mwilini. Kunapotokea hayo, ubongo huonywa juu ya mabadiliko hayo ya kikemekali ya kimaeneo, ambayo sote hutafusiri kama MAUMIVU. Kwa maneno mengine, hali ya uasidi ndani ya mwili ndiyo hupelekea sisi kusikia maumivu.
Kwa kawaida wakati damu yenye maji ya kutosha inapoizunguka seli, baadhi ya maji huingia ndani ya seli na kutoa nje molekuli za haidrojeni. Maji huisafisha asidi toka ndani ya seli na kuiacha sehemu ya ndani ya seli katika hali ya ualikalini ambayo ni hali yake ya kawaida na ya mhimu.
Kwa afya bora kabisa, mwili unatakiwa kubaki katika hali ya 7.4 katika kipimo cha ph (potential hydrogen).
Hali hii huhamasisha afya kwa sababu ndiyo hali inayoviwezesha vimeng'enya vinavyofanya kazi ndani ya seli ambavyo hupata ufanisi mzuri katika ph hii. Utiririkaji wa kutosha wa maji ndani na nje ya seli huifanya sehemu ya ndani ya seli kubaki na kuhimili hali yake ya kiafya ya kiualikalini.
Ndani ya miili yetu, figo husafisha haidrojeni iliyozidi ambayo husababisha asidi toka katika damu na kuiweka katika mkojo unaozarishwa. Kadiri mkojo unavyozarishwa kwa wingi ndivyo mwili unavyojiweka katika hali ya ualikalini kirahisi zaidi. Hii ndiyo sababu mkojo unaokaribia rangi ya uweupe ni kiashiria cha kufanikiwa kwa mfumo wa uondoaji wa asidi mwilini, wakati mkojo wa rangi ya njano au chungwa ni ishara ya kuunguzwa kwa asidi mwilini.
Watu wanaodhani kwenda uani kwa ajili ya haja ndogo mara mbili au tatu kwa siku ni usumbufu kwao na hivyo kuacha kunywa maji ili kuzuia hilo hawana uelewa wa namna wanavyohatarisha miili yao.
Ubongo unalindwa vizuri zaidi dhidi ya asidi kutokana na ukweli kuwa unapata umhimu wa kwanza katika kusambaziwa maji kwa ajili ya mahitaji yake yote. Sehemu zingine za mwili haziwezi kuwa na bahati hii wakati maji yanapokuwa yanapatikana kwa njia ya mgawo. Ingawa upungufu wa maji unapobaki kwa muda mrefu, ubongo pia huathiriwa kutokana na hali ya uasidi katika seli, hivyo hali kama za kupoteza kumbukumbu na magonjwa ya mishipa hujitokeza.
Maumivu ambayo hayakusababishwa na jeraha au ajari, ni kiashiria kuwa tishu, ogani, maungio na seli vina asidi iliyozidi ambayo inahitaji kufanywa kuwa alkalini.
Kwa kunywa glasi moja (ml 250) ya maji halisi na kuchukua kipande cha chumvi ya baharini, kutapunguza kama siyo kuondoa kabisa maumivu.
Jaribu hii kwa kunywa glasi moja ya maji na kisha kuiweka chumvi mwishoni mwa ulimi wako na kuiacha iyeyuke kwa dakika na kisha isafishe kwenda chini na glasi ya pili ya maji. Kwa mjibu wa dr.Batman, kitendo hiki kitabadili PH ya damu, tishu, ogani na seli ndani ya mwili.
KAMA SULUHU YA HARAKA: KWA MUDA WA SIKU 2 KULA MATUNDA TU (usile chakula kingine) NA JUISI YA MATUNDA ULIYOTENGENEZA MWENYEWE GLASI 2 KILA BAADA YA MASAA 2 NA NUSU, unaweza pia kutengeneza supu ya mbogamboga na ukala. Baada ya siku 2 utajisikia nafuu sana na unaweza kunipa feedback unaendeleaje.
http://maajabuyamaji.net/maumivu-3/
Mkuu ManKam
Bila kuharibu maelezo sahihi ya Mkuu Fadhili Paulo, nakushauri pia usome na ufanyie kazi maelezo ya rangi ya bluu pamoja na maelezo ya splina liquid chlorophyll hapa chini:
EDMARK INTERNATIONAL HEALTH PRODUCTS
Insomnia (Kukosa usingizi) - Shakeoff, Splina & Redyeast
Fibroids (uvimbe tumboni) - Shakeoff, Splina & Redyeast
Hormonal Imbalance (kuvurugika kwa homoni) - Shakeoff, Splina & Redyeast
Colon cancer (bile) (saratani ya utumbo mpana) - Shakeoff, MRT & Splina
Hemorrhoids (bile) (kutokwa na nyama njia ya haja kubwa) - Shakeoff & Splina
Pyorrhea (uvimbe wa fidhi) - Splina
Infertility (matatizo ya uzazi) - Shakeoff, Splina & Ginseng
Stroke (kiarusi) - Shakeoff, Splina & Redyeast
Hypertension (presha ya juu) - Shakeoff, Splina & Ginseng
Dipresion - Presha ya chini) - Shakeoff, Splina & Redyeast.
Heart Attack (mshtuko wa moyo) - Shakeoff, Splina & Red yeast
Kidney Failure (Matatizo ya figo) - Shakeoff, Splina & Red yeast
Immune system (kuongeza kinga) - Shakeoff, Splina, MRT&Red y
Diabetes (kisukari) - Shakeoff, Splina & Red yeast
Liver problems (matatizo ya Ini) - Shakeoff, MRT. Splina&Red ys
Arthritis (matatizo ya mifupa - Shakeoff, Splina
High Cholesterol (mafuta kwenye moyo/damu) - Shakeoff, Splina & Red yeast
Obesity (uzito uliozidi/vitambi) Edmark P4 sliming programme
Arteriosclerosis (Kukamaa kwa mishipa ya damu) - Shakeoff, Splina & Redyeast
Heartburn (kiungulia) - Shakeoff & Splina
Menstrual pain (maumivu ya hedhi) - Shakeoff, Splina & Red yeast
Ulcers ( vidonda vya tumbo) - Splina, Shakeoff & Red yeast
(splina for 1 week before using shake off)
Asthma (pumu) - Shakeoff, Splina & Read yeast
Acne pimples & spo t(chunus na madoa) - Shakeoff, Splina & Red yeast
Low Libido (kukosa hamu na nguvu ya kujamiiana - Shakeoff, Splina & Ginseng
Waist Pain (maumivu ya kiuno) - Shakeoff, Splina & Ginseng
Skin allergy (aleji za ngozi) - Shakeoff, Splina & Read yeast
Migraine (kipanda uso) - Shakeoff, Splina & Ginseng
Severe headache (maumivu makali ya kichwa) - Splina & Plenty water
Gout (maumivu ya viungo) - Shakeoff, Splina & Red yeast
Low back pain (maumivu ya mgongo) - Splina
U.T.I. - Splina & Red yeast
Pregnant & Luctating mothers (wajawazito na wanaonyonyesha)- Splina & Red yeast
Karibu tukuhudumie kwa bidhaa ambazo ni chakula na virutubisho
kwa afya yako, wala hazina madhara yoyote mwilini.
Maelezo ya Splina Liquid Chlorophyll
Imetengenezwa kutokana na mmea wa "Mulberry " unaotambulika kama chanzo bora cha "Chlorophyll".
Mlo wa kila siku unatakiwa uwe na Asidi 20% and Alkali 80% ili kuuweka mwili katika afya". - Kutokana na Prof. Ragnar Berg, Mwanalishe wa Marekani.
Kijiko Kimoja cha Chakula cha Splina Liquid Chlorophyll ni sawa na Kilogram Moja ya Mbogamboga (Mboga za Majani)
Ni vyakula vipi vyenye Asidi/Alkali
Vyakula asid:
Nyama, Vyakula vya baharini, nafaka, sukari, mafuta, na Vyakula vya makopo.
Vyakula vya Alkali:
Mboga za majani (Mbogamboga), Matunda, na Vyakula vya Mizizi (Karoti, Mihogo, Viazi, n.k)
"Splina" Liquid Chlorophyll is RICH with the following nutrients:
Zinc - helps in cell division and cell growth for faster wound healing.
Selenium - Provides protection from the toxic effects of heavy metals and other substances
Vitamin E - Nourishes the skin and keeps the brain active.
Vitamin C - Promotes healthy teeth and gums. Increases alertness and possesses anti-cancer properties.
Vitamin A - Helps in the formation and maintenance of healthy teeth, skeletal and soft tissue, mucous
membrane and skin. Promotes good vision. Strengthens the heart function.
Protein - Helps in growth and development especially for children and adolescents. Maintains the cell,
muscles, tendons and ligaments.
Biotin – essential for the metabolism of proteins and carbohydrates.
Folic Acid – Acts as a co-enzyme with vitamin B12 and Vitamin C in the breakdown and synthesis of
hormones and cholesterol.
Pantothenic – Essential in the synthesis of Acid hormones and cholesterol
Calcium – important for growth and reproduction of human body, maintains also healthy teeth and
bones.
Chromium – Stimulates fatty acid and cholesterol synthesis and an activator of of several enzymes.
Phosphorous – Assists in the contraction of muscles in functioning of kidneys, maintaining of regularity
of heartbeat
Potassium – It is necessary for muscle building and normal body growth.
Magnesium – Helps in Muscle relaxation and contraction
Iron – Essential to the formation of haemoglobin which carries the oxygen in the blood and muscles.
Faida za kutumia "Splina Liquid Chlorophyll"
1. Inasaidia kuhuisha seli na kuongeza kinga.
2. Inaondoa harufu mbaya mwilini na sores.
3. Inaondoa tatizo la mmeng'enyo wa chakula.
4. Inasafisha Ini kwa kuondoa sumu kwenye Ini
5. Inaondoa kwa haraka sumu zilizo ingia mwilini
kupitia dawa za kuua wadudu.
6. Inaweka uwiano sahihi wa tindikali (acid) na alkalini mwilini.
7. Inaongeza chembe hai nyekundu za damu
8. Inaaondoa mikunyanzi ya uzee na kupunguza kasi ya kuzeeka.
9. Inapunguza uzito kwa haraka.
Nani anatakiwa kutumia "Splina Liquid Chlorophyll"
- Watu wenye matatizo ya moyo
- Watu wanao toka jasho sana
- Watu wenye matatizo ya Ini
- Watu wenye matatizo ya upumuaji (Pumu,TB n.k)
- Watu wenye matatizo ya mifupa na viungo
- Watu wenye upungufu wa damu
- Watu wenye ngozi iliyo pauka
- Watu wenye matatizo ya uzito (uzito uliozidi au uzito pungufu)
- Watumiaji wa pombe na sigara
- Watu wasiopenda kula mboga za majani
- Wanaosumbuliwa na tatizo la kukosa choo
- Wanopata maumivu wakati wa hedhi
- Wenye kisukari,vidonda vya tumbo na vidonda sugu.
- Watu wanao ugua mafua mara kwa mara
- Watu wenye matatizo ya koo (kukereketa n.k)
- Watu wanaotoa harufu mbaya mwilini na mdomoni
- Watu walio bize sana na wenye msongo wa mawazo
- Watu wanaopenda kula vyakula vya harakaharaka (chips, burger, pizza n.k)
Naamini maelezo haya yatakuwa msaada kwako na jamii yako inayokuzunguka pamoja na Wanajamvi kwa ujumla.
Kwa taarifa zaidi, piga: 0713 366 473 or 0767 277 223.
KARIBUNI. FEEL LOVE NOW!