kichwa kuuma

kichwa kuuma

Frank jb

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2014
Posts
418
Reaction score
120
habari zenu wapendwa, n kwa muda mrefu sana nimekuwa nikisumbuliwa na matatizo ya kichwa kuuma sana yan haiwezi kupita siku mbili pasipo kuumwa kichwa na dawa za maumivu zimekuwa ni kama chakula kwangu, je nifanyeje ili niweze kutatua tatizo langu? naomba mnisaidie wapendwa wangu kimawazo ma kimatibabu pia.
 
Kuumwa kichwa kunasababishwa na mambo mengi na sio vizuri kumeza painkiller kila unaposikia maumivu,
Ngoja nikuitie madaktari waje kusaidie watu8, MziziMkavu
 
Last edited by a moderator:
habari zenu wapendwa, n kwa muda mrefu sana nimekuwa nikisumbuliwa na matatizo ya kichwa kuuma sana yan haiwezi kupita siku mbili pasipo kuumwa kichwa na dawa za maumivu zimekuwa ni kama chakula kwangu, je nifanyeje ili niweze kutatua tatizo langu? naomba mnisaidie wapendwa wangu kimawazo ma kimatibabu pia.

Je umefika hospitali au umekuwa ukinunua tu dawa pasipo kuwaona madaktari?
 
habari zenu wapendwa, n kwa muda mrefu sana nimekuwa nikisumbuliwa na matatizo ya kichwa kuuma sana yan haiwezi kupita siku mbili pasipo kuumwa kichwa na dawa za maumivu zimekuwa ni kama chakula kwangu, je nifanyeje ili niweze kutatua tatizo langu? naomba mnisaidie wapendwa wangu kimawazo ma kimatibabu pia.

Kama huna kawaida ya kunywa maji kichwa lazima kikusumbue. Jichunguze kwanza kabla hujaanza kufikiri tatizo ni kubwa kumbe dawa ni maji tu
 
Back
Top Bottom