habari zenu wapendwa, n kwa muda mrefu sana nimekuwa nikisumbuliwa na matatizo ya kichwa kuuma sana yan haiwezi kupita siku mbili pasipo kuumwa kichwa na dawa za maumivu zimekuwa ni kama chakula kwangu, je nifanyeje ili niweze kutatua tatizo langu? naomba mnisaidie wapendwa wangu kimawazo ma kimatibabu pia.