Kichwa leo kimenipanda nataka kupanda juu ya meza yani leo humu jf valangati

Kichwa leo kimenipanda nataka kupanda juu ya meza yani leo humu jf valangati

Mkogoti

TAPELI Mkubwa
Joined
May 3, 2020
Posts
2,415
Reaction score
3,924
Niaje mambo vipi? Wadau nipo nawasalimia kuanzia wewe na familia yako mko poa, okey wadau mi sina maneno mengi 😁 Sana ila niseme tu maisha haya ni kusameana tu na mwaka karibia unaisha tusiwe na viyongo ndani ya mioyo yetu,

Ndo maana tunakonda wewe toka Asubuhi mpaka jioni unakula tuuuu hunenepi Ni kwa sababu ya chuki na vitu umeweka rohoni shwain sana wewe vitoe hivyo wewe, kama hujafutuka kama litembo🤨

Mimi leo ni mwendo wa kuwachana tu au vipi ila tupo pamoja wadau nimejiskia tu 🤦🤪🏃 nyote Usiku mwema
 
Kwa sababu hizo hizo mkuu.😁😁
Inaonekana una vibonge wewe si buree loh!
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Sawa bhana

Kama ni kwaajir ya kwenda na fashion Huyo mara nyingi huwa na matatizo ya kiakil.

Ila kama ni kwasababu za kiafya hapo ni sawa
 
Ganja sio nzuri ase, wakuu tushirikiane kuivuta kwa kasi kizazi kijacho wasiikite vingnevyo kizazi kitaangamia.
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Sawa bhana

Kama ni kwaajir ya kwenda na fashion Huyo mara nyingi huwa na matatizo ya kiakil.

Ila kama ni kwasababu za kiafya hapo ni sawa
Kiafya na kifashoooni..
 
Waiter mpe supu mtoa uzi jana alikuwa chakaliiiiii sana, alipiga balimi moja na nusu unaweza sema kanywa konyagi kubwa nne, ebu nipe konyagi ndogo nitoe lock hapa [emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481] supu baadae kidogo
 
Kuna wana wangese sana humu ndani nawachana

Na wamama mnajifanya wafia dini kenge nyie

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
kwa hao wamama wanaangukia hapa
Screenshot_2020-10-12-14-47-48.jpg
 
Niaje mambo vipi? Wadau nipo nawasalimia kuanzia wewe na familia yako mko poa, okey wadau mi sina maneno mengi [emoji16] Sana ila niseme tu maisha haya ni kusameana tu na mwaka karibia unaisha tusiwe na viyongo ndani ya mioyo yetu,

Ndo maana tunakonda wewe toka Asubuhi mpaka jioni unakula tuuuu hunenepi Ni kwa sababu ya chuki na vitu umeweka rohoni shwain sana wewe vitoe hivyo wewe, kama hujafutuka kama litembo[emoji2955]

Mimi leo ni mwendo wa kuwachana tu au vipi ila tupo pamoja wadau nimejiskia tu [emoji1751][emoji2957][emoji125] nyote Usiku mwema
Mambo Kama haya ndo yamekimbiza wengi Facebook.
 
Back
Top Bottom