Mkogoti
TAPELI Mkubwa
- May 3, 2020
- 2,415
- 3,924
Niaje mambo vipi? Wadau nipo nawasalimia kuanzia wewe na familia yako mko poa, okey wadau mi sina maneno mengi 😁 Sana ila niseme tu maisha haya ni kusameana tu na mwaka karibia unaisha tusiwe na viyongo ndani ya mioyo yetu,
Ndo maana tunakonda wewe toka Asubuhi mpaka jioni unakula tuuuu hunenepi Ni kwa sababu ya chuki na vitu umeweka rohoni shwain sana wewe vitoe hivyo wewe, kama hujafutuka kama litembo🤨
Mimi leo ni mwendo wa kuwachana tu au vipi ila tupo pamoja wadau nimejiskia tu 🤦🤪🏃 nyote Usiku mwema