Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona tayari ume comment?Sicoment kitu hapa aseee!
Hao wanao disscuss njaa wameshiba...unaijua njaa au unaisikia? kungekuwa kuna njaa kweli usingali muona mtu humu mitandaoni...Habari hizi sizipendagi ,watu wanadiscuss njaa nyie mwaleta udaku tz hatari sana
Ha ha ha ! Mkuu sindio mwanzo huo lazima waje wakiwa hoi umesahau hata harmonize og. Alivyoanza gemu alikuwa kakomaa hata mvuto hana lakini sasa hivi sabuni nyingi sixpack sijui sevenpack zipo kwa kifua mabint wenyewe wanapigana vikumboHuyu celebrity wenyewe kadumaa, sijui kakulia kwenye tabu za kijijini!