Kick ya mwaka: Harmonize feki + Wolper feki, tazama video na picha

Hii style ya kutoka ni ya kipekee, sio ya nchi hii
 
Mtoto wa kiume... maisha yako unaiga tuu.... hadi demu wa mtu unaiga..... loooo.
Waachane bas maana harmonize na wolper wameachana.......
 
yaani kila nikimwangalia naskia kucheka, doh ilo pozi lake tu me hoi

Anasema hajaja mjini kushangaa magorofa
 
Hii sio kali ya mwaka,bali ni ya karne.
 
Huyu celebrity wenyewe kadumaa, sijui kakulia kwenye tabu za kijijini!
Ha ha ha ! Mkuu sindio mwanzo huo lazima waje wakiwa hoi umesahau hata harmonize og. Alivyoanza gemu alikuwa kakomaa hata mvuto hana lakini sasa hivi sabuni nyingi sixpack sijui sevenpack zipo kwa kifua mabint wenyewe wanapigana vikumbo
 
kutafuta ustaa kazi kweli hata mavi utakula ili mradi ujulikane town
 
Huyu harmorapa kituko ....wimbo ametoa mbovu...hata hii kick haitomsaidia chochote kwenye huu wimbo....
 
hahaaa.. hapo nahis uyo dogo harmorapa analiwa sana hela zake na wajanja wa mjin ili atoke, sasa kama unafanya muzik mzur kuna haja gan ufanane na harmonize kila kitu, apo kina producer khalfan na hao madem wanaofanana na jack wanampiga hela dogo kiujanja..Naona lengo lake nae asain lebo WCB
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…