"Kicks of a dying horse, " Erick Kabendera opines on Ndugai's downfall

"Kicks of a dying horse, " Erick Kabendera opines on Ndugai's downfall

Ahaa ipigwe tu
Ila maza alichomfanyia ndugai sio cha sport sport
Nasikia alipelekewa barua asaini
Duuu, watu mnazipata za ndani ndani...

Sisi akina nanilii tukajua aliandika mwenyewe.. Kama ni kweli basi Imbombo ngafu!
 
Kikatiba inawezekanaje Mzanzibari aruhusiwe kufanya kampeni ya kugombea Urais wa Muungano? Huyu Mama angekuwa wa mpito tu kwa kweli hadi 2025 sababu ni Mzanzibari.
 
Kabendera bwana alikua anaaim audience ipi??

Maana sisi wahusika hiyo lugha sio yetu.

Au ndio muendelezo wa kujikomba kwa mabeberu.

Kwa mnavyopenda kujishasha duniani, lugha hizi kwenye machapisho lazima ziwatapishe nyongo 😁😁.

Na bado!
 
Naomba kufahamu kabendera kasoma shule gani hapa bongo?
 
Makala nzuri ila ndefu sana halafu kwa kiingereza, hii sio lugha rafiki hapa Tanzania.
 
Kikatiba inawezekanaje Mzanzibari aruhusiwe kufanya kampeni ya kugombea Urais wa Muungano? Huyu Mama angekuwa wa mpito tu kwa kweli hadi 2025 sababu ni Mzanzibari.
Acha kauli zako hizi. Huyo unayemzungumzia kirahisi ni Rais, Mkuu wa nchi na Amiri Jeshi Mkuu. Huu Uhuru wa maoni unautumia vibaya.
 
Back
Top Bottom