Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,133
- 12,361
Duuu, watu mnazipata za ndani ndani...Ahaa ipigwe tu
Ila maza alichomfanyia ndugai sio cha sport sport
Nasikia alipelekewa barua asaini
Kafukuzwa yule nitakupa umbea keshoDuuu, watu mnazipata za ndani ndani...
Sisi akina nanilii tukajua aliandika mwenyewe.. Kama ni kweli basi Imbombo ngafu!
Nipe saa hizi bhana huo ubuyu tuumung'unye ukiwa wa moto, kesho utakuwa umepoa.Kafukuzwa yule nitakupa umbea kesho
Ngoja nileeNipe saa hizi bhana huo ubuyu tuumung'unye ukiwa wa moto, kesho utakuwa umepoa.
Enhee.....
Yeah, weka kitu kwa Kasanga Tumbo halafu uniminyie ubuyu..Ngoja nilee
Kabendera bwana alikua anaaim audience ipi??
Maana sisi wahusika hiyo lugha sio yetu.
Au ndio muendelezo wa kujikomba kwa mabeberu.
Me mvivu kuandikaYeah, weka kitu kwa Kasanga Tumbo halafu uniminyie ubuyu..
Kafanyiwa umafia wa kufa MTUYeah, weka kitu kwa Kasanga Tumbo halafu uniminyie ubuyu..
Mweee, halafu wewe..Me mvivu kuandika
Kafanywaje....Kafanyiwa umafia wa kufa MTU
Kabendera bwana alikua anaaim audience ipi??
Maana sisi wahusika hiyo lugha sio yetu.
Au ndio muendelezo wa kujikomba kwa mabeberu.
πππIt is for the audience that puts UGALI on his children's table!!
Acha kauli zako hizi. Huyo unayemzungumzia kirahisi ni Rais, Mkuu wa nchi na Amiri Jeshi Mkuu. Huu Uhuru wa maoni unautumia vibaya.Kikatiba inawezekanaje Mzanzibari aruhusiwe kufanya kampeni ya kugombea Urais wa Muungano? Huyu Mama angekuwa wa mpito tu kwa kweli hadi 2025 sababu ni Mzanzibari.
Connection pleaseKafukuzwa yule nitakupa umbea kesho
MmmhMakala nzuri ila ndefu sana halafu kwa kiingereza, hii sio lugha rafiki hapa Tanzania.
TukaguguNaomba kufahamu kabendera kasoma shule gani hapa bongo?