"Kicks of a dying horse, " Erick Kabendera opines on Ndugai's downfall

Dah sie wa kayumba hoi
Wala usijali. Hamna kitu cha maana hapo.

Halafu kuna very poor syntax and semantics! Haivutii kusoma.
Nimegundua kwenye magazeti anayoandikia anasaidiwa mno na wahariri.
Ona hii:
the Speaker of Parliament is the third in the raw to assume the office of President

Kifupi huwa hatusemi .... in the raw to... blah blah...

Example:
The US secretary of state is fourth in line of succession....
 
Acha kauli zako hizi. Huyo unayemzungumzia kirahisi ni Rais, Mkuu wa nchi na Amiri Jeshi Mkuu. Huu Uhuru wa maoni unautumia vibaya.
Kwahiyo Rais ni Mungu hastahili kukosolewa na tumwabudu? Kipi kibaya nilichoandika? Kama huna hoja kuhusu maswali kaa kimya.
 
After his resignation,Nduga has been denied the power of his tangue,a win to Samia..

Kicks of a dying horse is how you can describe the Mwendazake legacy propagators.

Samia=kicks of awakening horse.
 
Hiyo tafsiri ya country's body politics ndio siasa za vyombo vya Dola? 😀😀
 
Kikatiba inawezekanaje Mzanzibari aruhusiwe kufanya kampeni ya kugombea Urais wa Muungano? Huyu Mama angekuwa wa mpito tu kwa kweli hadi 2025 sababu ni Mzanzibari.
Vipi Ally Hassan Mwinyi?
 
Bare knuckles fight= kuzipiga kavu kavu.

Mapambano kama hayo huwa hayana waamuzi na damu lazima zitoke.
 
Is that what he meant ?..., or we have different degrees of understanding ? I paraphrase what the man said in context...

Sisi tuliona tuongeze Tozo (them meaning wabunge) watake wasitake walipe..., them he talked about getting a loan to build classes and lastly he spoke about them (him included) who brought the Tozo and he said the public will decide (either to punish them for the Tozo and bring the others who are fond of kutembeza Bakuli...,

I doubt if the man would have the guts to mean what the article declares he meant.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…