Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 4,950
- 10,977
Tanzania tunachukulia vitu poa sana.
Weka VPN ingia BBC iPlayer angalia kipindi kinaitwa ‘war games’ uone jinsi usalama wa taifa wa marekani walivyoogopa hii scenario na kutaka kujifunza hii situation isitokee tena kwa siasa za demagogue na wapotoshaji.
Sasa endeleeni kuwachekea wanaharakati uchwara kisa baba zao ni vigogo waliowahi kuwatumikia serikali, wakati kwenye hizo fujo kulikuwa mpaka na retired army generals waliokuwa wanachochea fujo.
Very interesting ukiweza kuona hiyo simulation story. Ila wazungu atuwawezi yaani kuna maafisa usalama na askari mpaka wanalia wakisumilia jinsi walivyostuka kuona raia wao wamepumbazwa na watu tu hadi kuwa radicals. Badala ya kulaumu raia wao ndio wanajiona ni failures kwenye kuilinda nchi.
Usalama wa taifa ni mchezo wa watu wenye akili.
Good Morning
The whole idea, behind the simulation game ni team ya wataalamu wa usalama na wanasiasa kujifunza; how they should have handled the situation siku za mbele ikitokea waasi wamejipanga zaidi.
Halafu sisi hata wasaliti wa wazi tuna sema ni uhuru wa mawazo.