Jamani matokeo hayatoki leo ni mpaka ijumaa halafu bajeti isomwe trh 4 mnaosubiri imekula kwenu matokeo kutoka lazima kwanza waitwe waandishi wa habari mpaka sasa hilo halijafanyika acheni kuwarusha roho watoto wa watu.
watayakuta siku ya mwisho
Yani we acha tu mkuu apanilipo tumbo joto
kwani leo sio wiki hii?
Samahani mkuu Feza boys imeniharibu sana kumbe 34 ni zerohakuna four pt 34 mkuu
Samahani mkuu Feza boys imeniharibu sana kumbe 34 ni zero
Samahani mkuu Feza boys imeniharibu sana kumbe 34 ni zero
Kumbe humu tuko na watoto
WAKUU kuna tetesi matokeo ya kidato cha nn4 kutangazwa leo mchana,
pia inasemekana yatakua na kiwango cha ufaulu kikubwa kulinganisha na mwaka uliopita,
tukae mkao wa kula ubwabwa leo hiiiiiiiiii.
na siege tuliosomea kibaha,mzumbe,taboraboys,ilboru ? Feza ndogo nine wewe vilaza hao
Wale waliopata div 1 point 7 itakuaje matokeo yao?
Watawekewa zero na wale waluokua na zero watapewa div 1!!!