Kidato cha 4 mambo safi, matokeo mapya hadharani..................... ................

Kidato cha 4 mambo safi, matokeo mapya hadharani..................... ................

Status
Not open for further replies.
Kwani jf ni ya form 4 walomaliza 2012
Jamani matokeo hayatoki leo ni mpaka ijumaa halafu bajeti isomwe trh 4 mnaosubiri imekula kwenu matokeo kutoka lazima kwanza waitwe waandishi wa habari mpaka sasa hilo halijafanyika acheni kuwarusha roho watoto wa watu.
 
WAKUU kuna tetesi matokeo ya kidato cha nn4 kutangazwa leo mchana,

pia inasemekana yatakua na kiwango cha ufaulu kikubwa kulinganisha na mwaka uliopita,

tukae mkao wa kula ubwabwa leo hiiiiiiiiii.

kweli hii serikali ni ya vichaa....
 
Mdogo wangu alikuwa na divisio ZERO,kaniambia anazo taaarifa from reliable source kuwa kapandishwa hadi division 3 na kombi zimekubali,hata yule wa ZOMBIE lililovaa viatu anaweza kupata four na utamsikia kaenda TTC kuandaliwa kuwa mwalimu.
 
Waongo wakubwa nyie! Mbona waweka fake link? mumemwema

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom