KUN
JF-Expert Member
- Oct 17, 2011
- 383
- 80
Vipi kuhusu wale waliojinyonga n.k...
Na matokeo yao pia yatatoka...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi kuhusu wale waliojinyonga n.k...
Usiwe na wasiwasi mkuu, goli limepanuliwa hata ukipiga na kidevu unachana nyavu.Labda ni uelewa wangu mdogo; ila siamini kama UFAULU umeongezeka. KIlichofanywa ni kupandisha marks za WALIOFELI KWELI na kuwafikisha PAKUFAULU!!!!! Swali ni JE, WAMEFAULU KWELI AU WAMEFAULISHWA???
kwa mujibu wa gazeti la mwananchi matokeo yatatangazwa wiki hii lakni sio leo..
chanzo mwananchi....
Kwani leo haipo kwenye wiki hii?
muambie huyo mburula
Labda ni uelewa wangu mdogo; ila siamini kama UFAULU umeongezeka. KIlichofanywa ni kupandisha marks za WALIOFELI KWELI na kuwafikisha PAKUFAULU!!!!! Swali ni JE, WAMEFAULU KWELI AU WAMEFAULISHWA???
watayakuta siku ya mwishoVipi kuhusu wale waliojinyonga n.k...
Hahahahahahaaaa!sio leo kuwa muelewa dogo...sio mpaka nitoe siri ya office...