Kidato cha 6 waruhusiwe kufundisha somo la Hisabati

Kidato cha 6 waruhusiwe kufundisha somo la Hisabati

River malagarasi au river kagera….Heshimu taaluma ya ualimu
1)Hakuna Cha taaluma ya ualimu Wala nn! Haiwezekani nimelize form six kwa PCM then nikachukua jiwe la BSCCS ikashindwa kufundisha O - level
2) Nimeona walimu wanaojua ethics za ualimu but kudeliver material hawawezi!
3) Kumfundisha ni wito ndomana Kuna wanasheria mtaani ambao hata chuo Cha Sheria hajawahi kwenda na humshindi kesi hiyo ninnafsi yake ulivyo
4) Kuna wakulima wanalima maeka hata hawajawahi kwenda chuo Cha kilimo Wala kumuita A/K
 
Back
Top Bottom